• IAEA: Hakuna ithibati yenye itibari kuhusu madai kwamba Iran inaunda silaha za nyuklia

    IAEA: Hakuna ithibati yenye itibari kuhusu madai kwamba Iran inaunda silaha za nyuklia

    May 01, 2018 09:48

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umesema tokea mwaka 2009 hakuna kielelezo wala ithibati yenye itibari inayoonyesha kuwa miradi ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina malengo ya kijeshi.

  • Kuendelea madai ya kichekesho ya Netanyahu kuhusu Iran

    Kuendelea madai ya kichekesho ya Netanyahu kuhusu Iran

    May 01, 2018 02:48

    Waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumatatu usiku, katika maonyesho yake mapya ya kipropaganda dhidi ya Iran, ameonyesha picha, CD na karatasi na kudai ni nyaraka zisizopingika kuhusu kile alichodai kuwa eti ni mpango wa siri wa Iran wa kuunda bomu la atomiki.

  • Araqchi: Hatua yoyote ya kuvuruga mapatano ya JCPOA itakuwa na mwisho mbaya

    Araqchi: Hatua yoyote ya kuvuruga mapatano ya JCPOA itakuwa na mwisho mbaya

    Mar 26, 2018 10:42

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita za kundi la 5+1 ni mapatano ya kiusalama na yanahusiana moja kwa moja na usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na wa kimataifa, na uvurugaji wa aina yoyote wa makubaliano hayo utakuwa na matokeo mabaya kwa jamii ya kimataifa.

  • Ujerumaini, Uingereza, Ufaransa: Tutahakikisha makubaliano ya JCPOA yanalindwa

    Ujerumaini, Uingereza, Ufaransa: Tutahakikisha makubaliano ya JCPOA yanalindwa

    Nov 13, 2017 23:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema kuwa nchi yake pamoja na Uingereza na Ufaransa zina mtazamo mmoja kuhusiana na wajibu wa kulindwa na kuheshimiwa mapatano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 maarufu kwa jina la JCPOA.

  • Amano: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika kipindi chote

    Amano: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika kipindi chote

    Nov 07, 2017 04:49

    Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, Yukia Amano ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika takriban kipindi cha miaka miwili cha mapatano hayo.

  • IAEA: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    IAEA: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 29, 2017 12:23

    Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesema kuwa Iran imefungamana na kutekeleza wajibu na majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Larijani: Iran itawafanya Wamarekani wajute

    Larijani: Iran itawafanya Wamarekani wajute

    Oct 17, 2017 11:43

    Spika Bunge la Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Iran imetayarisha mipango ya kudumisha miradi yake ya kuzalisha nishati ya nyuklia.

  • Wendy Sherman atetea tena makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Wendy Sherman atetea tena makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Oct 08, 2017 04:08

    Mwanadiplomasia wa zamani wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani amesema kuwa, uhusiano kati ya nchi hiyo na Korea ya Kaskazini utaharibika zaidi iwapo Rais wa nchi hiyo Donald Trump atakataa kuthibitisha kwamba Iran imeheshimu na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Zarif: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran

    Zarif: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran

    Jul 16, 2017 23:22

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekiuka utekelezaji wa ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Iran.

  • Kuaminiana pande mbili; sharti la kufanikiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran na Magharibi

    Kuaminiana pande mbili; sharti la kufanikiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran na Magharibi

    Jun 24, 2017 23:28

    Ali Akbar Salehi Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran ameandika katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian la nchini Uingereza kwamba, kufanikiwa makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi za Magharibi kunategemea ushirikiano na kiwango cha kuaminiana kati ya pande hizo na kwamba si kupitia siasa za kuvuruga mambo zinazofuatiliwa hivi sasa.