-
Mahudhurio ya Iran katika Klabu ya Kimataifa ya Nyuklia
Sep 17, 2016 04:46Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO) Ali Akbar Salehi amehutubia kongamano la kila mwaka la Klabu ya Kimataifa ya Nyuklia mjini London, Uingereza akisisitzia udharura wa kuwepo ushirikiano katika masuala ya teknolojia ya nyuklia.
-
Rouhani: Kundi la 5+1 halitekelezi ipasavyo JCPOA
Aug 03, 2016 03:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za kundi la 5+1 hazitekelezi barabara makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Siasa za kiistratejia za Marekani; kuendelea miamala ya kiuhasama dhidi ya Iran
Jun 25, 2016 23:43Seneta Christopher Andrew Coons mwanachama wa ngazi ya juu wa chama cha Democrat katika Seneti ya Marekani amesema kuwa Iran bado ni hatari na ni nchi ya kimapinduzi; na kwamba ingali ni hatari kuu ya kinyuklia kwa miongo ijayo.
-
Iran yaitaka Marekani ichukue hatua zaidi kutekeleza mapatano ya nyuklia
Jun 14, 2016 22:24Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inapaswa kuchukua hatua zaidi katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia kwa kuziruhusu benki kufanya biashara na Iran baada ya kuondolewa vikwazo.
-
Utawala wa Kizayuni ni tishio pekee la nyuklia katika Mashariki ya Kati
Jun 14, 2016 22:23Utawala wa Kizayuni wa Israel katika miaka ya hivi karibuni umefanya jitihada kubwa pamoja na Marekani ili kuidhihirisha miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani kuwa ina malengo ya kijeshi na kwa msingi huo imekuwa ikitaka kuidhihirisha Iran kuwa ni tishio kwa usalama wa Mashariki ya Kati.
-
Amano: Iran imefungamana na makubaliano ya nyuklia
Jun 04, 2016 09:22Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amethibitisha kuwa Iran imefungamana na makubaliano ya nyuklia.
-
Hillary Clinton aunga mkono makubaliano ya nyuklia, amkosoa Trump
Jun 03, 2016 02:53Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats, Hillary Clinton ameunga mkono makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya madola makubwa ya dunia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Iran imesambaratisha chuki dhidi ya Uislamu
Apr 19, 2016 10:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limesambaratisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Iran
-
IAEA: Iran inatekeleza ipasavyo makubaliano ya nyuklia
Apr 02, 2016 02:35Kwa mara nyingine tena Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umetoa ithibati kuwa serikali ya Tehran inatekelezwa barabara makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati yake na kundi la 5+1 Julai mwaka jana 2015.
-
Rouhani: Makubaliano ya nyuklia ni tukio litakalokumbukwa katika historia ya Iran na Dunia
Mar 27, 2016 22:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ni tukio litakalosalia katika historia ya Iran na dunia.