-
Sami Abu Zuhri: Marekani ni mshirika wa jinai dhidi ya taifa la Palestina
May 18, 2024 00:31Sami Abu Zuhri, Kiiongozii wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Palestina HAMAS nje ya nchi amesema kuwa, serikali ya Marekani ni mshirika wa vita dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Polisi 200 wa Kenya kupelekwa Haiti Alkhamisi ijayo
May 18, 2024 00:30Polisi 200 wa Kenya watapelekwa nchini Haiti kulinda usalama siku ya Alkhamisi ijayo. Ni baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu mahakamani, ambapo Januarii mwaka huu Mahakama ya juu nchini Kenya ilitangazwa kuwa, mpango wa serikali wa kutuma polisi nchini Haiti kuongoza kikosi cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa ni kinyume na katiba.
-
Marekani kukanusha tena kutokea mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza, ni kukana ukweli ulio wazi
May 16, 2024 00:55Licha ya Wapalestina zaidi ya elfu 35,000 kuuawa shahidi na utawala wa kigaidi wa Israel huko Ukanda wa Gaza, lakini Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya White House nchini Marekani amedai bila kuona haya kwamba serikali ya Rais Joe Biden haiyachukulii mauaji hayo kuwa ni mauaji ya halaiki.
-
Takriban wakimbizi elfu kumi wameaga dunia katika mpaka wa Marekani
May 15, 2024 08:26Karibu wakimbizi na wahajiri elfu kumi wameaga dunia katika mpaka wa Marekani.
-
Marekani na Uingereza zashambulia tena uwanja wa ndege wa al Hudaidah huko Yemen
May 15, 2024 08:20Ndege za kivita za Marekani na Uingereza kwa mara nyingine tena zimeushambulia uwanja wa ndege wa kimataifa wa al Hudaidah huko Yemen.
-
Afisa wa jeshi la Marekani ajiuzulu akipinga uungaji mkono wa Washington kwa Israel
May 14, 2024 04:17Afisa wa jeshi la Marekani jana alitangaza kuwa amejiuzulu akilalamikia hatua ya Washington ya kuunga mkono vita na mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Gaza.
-
Afisa wa Hamas: Muqawama wa Gaza umeweza kukabiliana kwa mafanikio na vita vya dunia
May 11, 2024 23:06Sami Abu Zuhri, ambaye ni miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), amesema kwamba Muqawama na mapambano ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yamefanikiwa kukabiliana na "vita vya kimataifa," na nchi zilizoifadhili Israel sasa zinaanza kusitisha uungaji mkono wao kwa utawala huo.
-
Tahadhari kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria
May 11, 2024 23:05Msemaji wa kundi la viongozi wa kaskazini mwa Nigeria amemuonya rais wa nchi hiyo kuhusu madhara hatari ya kuwepo kwa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria.
-
Madai ya Marekani ya kusimamisha kuupelekea silaha utawala wa Kizayuni wa Israel
May 09, 2024 22:38Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin alidai siku ya Jumatano mbele ya Baraza la Seneti la nchi hiyo kwamba kuupelekea silaha utawala wa Kizayuni wa Israel kumesimamishwa kwa sababu ya utawala huo kutekeleza operesheni ya kuivamia kijeshi Rafah, lakini pamoja na hayo bado hawajachukua uamuzi rasmi kuhusu hatima ya shehena hiyo ya silaha.
-
Kuthibitishwa ukweli wa utawala wa Kizayuni kutoweza kujilinda; matokeo muhimu ya vita vya Gaza
May 09, 2024 03:35Wachambuzi wa masuala ya uhusiano wa kimataifa wanaamini kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kujilinda bila ya msaada wa Marekani, na udhaifu wake katika uwanja huo umefichuka na kuanikwa peupe.