Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mashambulizi ya anga

  • Kukiri Marekani kuhusu kuuawa raia na ndege zake zisizo na rubani

    Kukiri Marekani kuhusu kuuawa raia na ndege zake zisizo na rubani

    Jul 02, 2016 08:12

    Hatimaye serikali ya Marekani imekiri wazi kwamba, zaidi ya raia 116 wameuawa wakati wa mashambulio ya ndege zake zisizo na rubani.

  • Mamia wauawa katika mashambulizi  nchini Libya

    Mamia wauawa katika mashambulizi nchini Libya

    Jun 03, 2016 14:13

    Wanajeshi wawili wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa katika shambulizi la kujitoa mhanga lililofanywa na wanamgambo wa kundi la ISIS (Daesh) karibu na mji wa Sirte hapo jana.

  • Kiongozi wa Taliban, Mullah Mansour auawa katika hujuma ya drone

    Kiongozi wa Taliban, Mullah Mansour auawa katika hujuma ya drone

    May 22, 2016 16:20

    Kiongozi wa kundi la kigaidi la Taliban, Mullah Akhtar Mohammad Mansour ameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Marekani katika mkoa wa Baluchistan, mpakani mwa Afghanistan na Pakistan.

  • Pentagon: Hujuma ya US dhidi ya hospitali Afghanistan sio jinai ya kivita

    Pentagon: Hujuma ya US dhidi ya hospitali Afghanistan sio jinai ya kivita

    Apr 30, 2016 07:44

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetetea mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi lake dhidi ya hospitali moja nchini Afghanistan mwishoni mwa mwaka jana 2015.

  • Watu wa Yemen, wahanga wa njama za Aal Saud

    Watu wa Yemen, wahanga wa njama za Aal Saud

    Mar 17, 2016 15:33

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amesema kuwa zinafanyika jitihada za kufikiwa mapatano ya kusitisha vita nchini humo licha ya Saudi Arabia kuzidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.

  • Machafuko yashika kasi zaidi nchini Burundi

    Machafuko yashika kasi zaidi nchini Burundi

    Mar 17, 2016 09:27

    Raia kadhaa wanaripotiwa kuuawa katika machafuko yanayoendelea huko kusini mwa Burundi.

  • Machafuko yashika kasi zaidi nchini Burundi

    Machafuko yashika kasi zaidi nchini Burundi

    Mar 17, 2016 07:03

    Raia kadhaa wanaripotiwa kuuawa katika machafuko yanayoendelea huko kusini mwa Burundi.

  • Iran: Umoja wa Mataifa ufuatilie mauaji ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen

    Iran: Umoja wa Mataifa ufuatilie mauaji ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen

    Mar 16, 2016 15:26

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaka Umoja wa Mataifa ufuatilie mauaji yanayofanywa Saudi Arabia dhidi ya raia huko Yemen.

  • Mashambulio ya anga ya utawala wa Aal Saud yaendelea kuua raia wasio na hatia Yemen

    Mashambulio ya anga ya utawala wa Aal Saud yaendelea kuua raia wasio na hatia Yemen

    Mar 13, 2016 03:31

    Ndege za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Aal Saud zinaendelea kuua raia wasio na hatia wa Yemen.

  • Saudia yazidisha mashambulizi dhidi ya raia, misikiti ya Yemen

    Saudia yazidisha mashambulizi dhidi ya raia, misikiti ya Yemen

    Mar 11, 2016 03:48

    Saudi Arabia na washirika wake wamezidisha mashambulizi ya anga dhidi ya makazi ya raia na maeneo ya ibada nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS