-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma Aleppo Syria
Oct 01, 2016 04:42Habari kutoka Syria zinasema kwa akali watu 18 wameuwa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika hujuma ya maroketi iliyotekelezwa na makundi ya kitakfiri katika eneo la makazi ya watu mjini Aleppo.
-
Ripoti: Askari walioua Waislamu Nigeria washtakiwe
Aug 02, 2016 03:00Jopo la uchunguzi lililotwika jukumu la kuchunguza mauaji ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria limekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika liliuawa Waislamu zaidi ya 300 katika mji wa Zaria jimbo la Kaduna.
-
Utafiti: Jinai zimeongezeka katika miji mikubwa Marekani
Jul 31, 2016 23:25Utafiti mpya umefichua kuwa uhalifu na jinai za kutisha zimeongeza kwa kiasi kikubwa katika miji mikubwa ya Marekani.
-
25 wauawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini
Jul 28, 2016 11:00Watu wasiopungua 25 wameuawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini.
-
Riek Machar aondoka Juba, nchi za Ulaya zawaondoa raia wao Sudan Kusini
Jul 13, 2016 10:52Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar ameondoka katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba pamoja na askari wanaomuunga mkono na kwenda kusikojulikana.
-
DRC yakosoa ripoti ya HRW kwamba askari wake waliua CAR
Jun 10, 2016 09:46Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekosoa ripoti ya hivi karibuni ya Human Rights Watch iliyodai kuwa askari wa nchi hiyo wa kulinda amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati waliua na kukandamiza raia wasio na hatia.
-
Waziri: Israel inahusika na wimbi la mauaji linaloshuhudiwa Bangladesh
Jun 07, 2016 03:11Serikali ya Bangladesh imesema yumkini kuna mkono wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika wimbi la mauaji linaloendelea kushuhudiwa nchini humo.
-
Watu wawili wengine wauawa nchini Burundi
May 25, 2016 08:55Watu wasiojulikana wenye silaha wameshambulia ofisi ya chama tawala cha CNDD-FDD katika wilaya ya Ndava huko Mwaro nchini Burundi na kuuawa polisi mmoja na raia mwengine mmoja.
-
UN yagundua makaburi 50 ya umati nchini Iraq
May 07, 2016 03:10Umoja wa Mataifa umesema makaburi ya umati zaidi ya 50 yamegunduliwa katika maeneo mbali mbali ya Iraq, baada ya vikosi vya serikali kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyokuwa chini ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Pentagon: Hujuma ya US dhidi ya hospitali Afghanistan sio jinai ya kivita
Apr 30, 2016 03:14Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetetea mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi lake dhidi ya hospitali moja nchini Afghanistan mwishoni mwa mwaka jana 2015.