-
Indhari na hatua mpya kuhusu vita vya ushuru vya Trump
Apr 27, 2025 02:26Indhari na radiamali mpya zimetolewa ndani ya Marekani na kimataifa kutokana na kuendelea vita vya ushuru vya Rais Donald Trump na madai yake katika uwanja huo.
-
Russia yataka BRICS iunde mbadala wa IMF
Oct 11, 2024 10:32Russia ambayo ni mwenyekiti wa kiduru wa kundi la BRICS mwaka huu, imetoa wito kwa washirika wake kubuni njia mbadala ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kukabiliana na shinikizo la kisiasa kutoka mataifa ya magharibi kabla ya mkutano wa kilele wa BRICS baadaye mwezi huu.
-
Kukua uchumi wa Iran licha ya kuandamwa na vikwazo
Feb 28, 2024 02:49Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetangaza kuwa, uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umekuwa kwa kiwango ambacho haikutabiriwa
-
IMF na Benki ya Dunia zafanya mikutano ya kwanza barani Afrika katika kipindi cha miaka 50
Oct 10, 2023 15:02Mkuu wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) Kristalina Georgieva ametoa wito kwa mataifa tajiri kutoa msaada zaidi kwa nchi zinazoendelea zenye madeni, wakati akifungua mikutano ya kwanza ya IMF na Benki ya Dunia kufanywa katika ardhi ya Bara la Afrika katika kipindi cha miaka 50.
-
IMF: Dunia itaendelea kushuhudia kudorora zaidi kwa uchumi
Jul 27, 2022 08:03Ripoti ya hali ya uchumi kwa robo mwaka iliyotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF imesema, hivi karibuni ulimwengu utashuhudia kudorora kwa uchumi kimataifa na kwamba njia kuu ya kusaidia nchi zote kwa sasa ni kuungana na kushirikiana; na iwapo hazitafanya hivyo kutakuwa na utofauti mkubwa wa ukuaji wa uchumi kijiografia katika siku zijazo.
-
Onyo la mashirika 4 ya Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya usalama wa chakula duniani
Apr 14, 2022 07:22Benki ya Dunia, Shirika la Biashara Duniani, Mfuko wa Fedha wa Kimataifa na Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa zimeonya kuwa usalama wa chakula duniani uko hatarini na kwamba nchi zote zinapaswa kuchukua hatua maalumu kudhamini chakula kwa watu wao.
-
IMF kuinyima fedha Somalia iwapo itaakhirisha tena uchaguzi
Feb 23, 2022 02:37Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema huenda likasimamisha ushirikiano wake wa kifedha na serikali ya federali ya Somalia katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, iwapo nchi hiyo ya Pembe ya Afrika itaakhirisha tena uchaguzi.
-
Taathira za vikwazo vya Marekani kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF)
Oct 22, 2020 12:52Gavana wa Benki Kuu ya Iran amesema kuwa, Mfuko wa Fedha Kimataifa (IMF) unapaswa kujibu ombi la Iran la kupewa mkopo kutoka kwenye bajeti ya dharura ya IMF kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya corona, na usikubali kuathiiwa na lobi za kisiasa na mashinikizo ya Marekani.
-
IMF kuzisaidia nchi 28 maskini kutokana na athari mbaya za corona, nyingi ni za Afrika
Oct 06, 2020 11:20Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umeafiki kutoa msaada wa haraka kwa nchi 28 maskini duniani kwa lengo la kupunguza madeni ya nchi hizo na kukabiliana na athari mbaya za maambukizi ya virusi vya corona.
-
Mfuko wa Fedha wa Kimataifa wataka jamii ya kimataifa iisaidie Lebanon
Aug 07, 2020 08:14Mkurugenzi Mwandamizi wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF jana Alkhamisi alitoa taarifa akiitaka jamii ya kimataifa na nchi rafiki za Lebanon ziisaidie nchi hiyo kupunguza hasara iliyotokana na mlipuko mkubwa uliotokea siku ya Jumanne alasiri katika bandari ya Beirut.