-
Kufungwa ubalozi wa Ufaransa nchini Niger
Jan 04, 2024 01:11Hatimaye ubalozi wa Ufaransa umefungwa rasmi nchini Niger miezi kadhaa baada ya kufanyika marekebisho ya kisiasa na Baraza la Kijeshi kuchukua uongozi wa nchi, ambapo lilisisitiza kuondoka vikosi vya kijeshi na kukomeshwa satwa ya Ufaransa katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Waniger washerehekea kufikia tamati uwepo wa askari wa Ufaransa nchini humo+VIDEO
Dec 30, 2023 07:46Wananchi wa matabaka mbalimbali nchini Niger wamefanya sherehe maalumu ya kufurahia kufikia tamati uwepo wa wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Kufikia kikomo uwepo wa kijeshi wa Ufaransa nchini Niger; ushindi kwa Waniger
Dec 24, 2023 07:40Miezi kadhaa baada ya kutokea mabadiliko ya kisiasa nchini Niger na sisitizo la Baraza la Kijeshi la kuondoka vikosi vya kijeshi vya Ufaransa katika ardhi ya nchi hiyo, hatimaye kundi la mwisho la askari wa Paris liliondoka Niger siku chache zilizopita.
-
Mwisho wa kuwepo kijeshi Ufaransa nchini Niger, ushindi kwa Waniger
Dec 23, 2023 03:09Kuwepo kijeshi Ufaransa nchini Niger kumemalizika kwa kuondoka kundi la mwisho la wanajeshi wa nchi hiyo huko Niamey mji mkuu wa Niger.
-
Ufaransa kufunga ubalozi wake nchini Niger
Dec 22, 2023 04:26Wanadiplomasia wa Ufaransa wameeleza kuwa nchi hiyo imechukua uamuzi wa kufunga ubalozi wake huko Niamey mji mkuu wa Niger.
-
Mahakama ya Ecowas yaamuru kuachiwa huru Rais wa Niger aliyepinduliwa
Dec 15, 2023 23:52Mahakama ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) jana iliamuru kuachiliwa mara moja na bila masharti Rais aliyepinduliwa wa Niger Mohamed Bazoum.
-
Niger: Askari wote wa Ufaransa wawe wameondoka nchini ndani ya siku 10
Dec 13, 2023 07:46Jeshi la Niger limetangaza kuwa, askari wote wa Ufaransa walioko nchini humo watakuwa wameondoka kikamilifu katika ardhi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufikia Disemba 22.
-
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS yaitambua rasmi serikali ya Niger
Dec 12, 2023 01:56Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS imeitambua rasmi serikali mpya ya Niger ikiwa ni katika kulegeza misimamo yake ya kisiasa na kiuchumi kuhusiana na nchi hiyo.
-
ECOWAS yatambua rasmi Baraza la Kijeshi la Niger
Dec 11, 2023 08:25Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imelitambua rasmi kwa njia isiyo ya moja kwa moja Baraza la Kijeshi linalotawala Niger.
-
Mahakama ya Afrika Magharibi yatupilia mbali pingamizi la vikwazo kwa uongozi wa kijeshi wa Niger
Dec 07, 2023 23:47Mahakama ya Afrika Magharibi Jana imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na uongozi wa kijeshi wa Niger kwa ajili ya kuiondolea nchi hiyo vikwazo ilivyowekewa na jumuiya ya kikanda ya Ecowas baada ya mapinduzi nchini humo.