Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Mahakama Nigeria yakataa kumuachia huru kwa dhamana Sheikh Zakzaky

    Mahakama Nigeria yakataa kumuachia huru kwa dhamana Sheikh Zakzaky

    Nov 08, 2018 01:18

    Mahakama nchini Nigeria imekataa kumwachia huru kwa dhamana kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky siku kadhaa baada ya wafuasi wake zaidi ya 40 kuuawa katika maandamano waliyofanya kutaka kuachiwa huru kiongozi huyo wa kidini.

  • Amnesty International yakiri kuuawa kinyama Mashia wa Nigeria

    Amnesty International yakiri kuuawa kinyama Mashia wa Nigeria

    Nov 01, 2018 01:09

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limevinyooshea kidole cha lawama vikosi vya usalama vya Nigeria likivituhumu kwamba, vimehusika na mauaji ya kinyama ya makumi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.

  • Jeshi la Nigeria laendeleza jinai dhidi ya Mashia, lawafyatulia risasi na kuwaua waandamanaji kadhaa

    Jeshi la Nigeria laendeleza jinai dhidi ya Mashia, lawafyatulia risasi na kuwaua waandamanaji kadhaa

    Oct 30, 2018 03:57

    Jeshi la Nigeria, kwa mara nyengine tena limewashambulia kwa kuwafyatulia risasi Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakiandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja na kuwaua shahidi waandamanaji kadhaa.

  • Jeshi la Nigeria laua Waislamu 10 wakishiriki Arubaini ya Imam Hussein AS

    Jeshi la Nigeria laua Waislamu 10 wakishiriki Arubaini ya Imam Hussein AS

    Oct 27, 2018 23:32

    Wanajeshi wa Nigeria wameushambulia msafara wa Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS, viungani mwa mji mkuu wa nchi Abuja, na kuua shahidi kumi miongoni mwa waumini hao.

  • Nigeria yaweka amri ya kutotoka nje mjini Kaduna baada ya mapigano ya kikabila kuua watu 55

    Nigeria yaweka amri ya kutotoka nje mjini Kaduna baada ya mapigano ya kikabila kuua watu 55

    Oct 23, 2018 03:25

    Maafisa wa serikali ya Nigeria wametuma kikosi maalumu cha polisi katika jimbo la Kaduna la kaskazini mwa nchi hiyo na kutangaza amri ya masaa 24 ya kutotoka nje baada ya kutokea mapigano ya kikabila yaliyoua makumi ya watu.

  • Watu 55 wauawa katika mapigano ya kidini nchini Nigeria

    Watu 55 wauawa katika mapigano ya kidini nchini Nigeria

    Oct 21, 2018 10:18

    Watu wasiopungua 55 wameuawa katika mapigano ya kidini jimboni Kaduna, kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Wakulima 12 wauawa na magaidi wa Boko Haram katika jimbo la Borno

    Wakulima 12 wauawa na magaidi wa Boko Haram katika jimbo la Borno

    Oct 21, 2018 04:14

    Kundi la kigaidi la Boko Haram limewaua wakulima wasiopungua 12 na kujeuhi makumi ya wengine, baada ya kufanya shambulio katika kitongoji kimoja katika mji wa Maiduguri ulioko katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • UN: Kundi la wanamgambo  la Nigeria lamewaachia watoto 833

    UN: Kundi la wanamgambo la Nigeria lamewaachia watoto 833

    Oct 12, 2018 13:31

    Kundi moja la wanamgambo ambalo linaendesha mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria limewaachia huru watoto 833 miongoni mwa ngazi zake.

  • Waziri wa zamani wa Nigeria na mfuatiliaji wa hatima ya mabinti wa Chibok kugombea urais

    Waziri wa zamani wa Nigeria na mfuatiliaji wa hatima ya mabinti wa Chibok kugombea urais

    Oct 07, 2018 11:45

    Bi Obiageli Ezekwesili Waziri wa zamani wa Nigeria na mwasisi mwenza wa kundi linalofuatilia mahali walipo mabinti zaidi ya 200 waliotekwa nyara mwaka 2014 na kundi la kigaidi la Boko Haram leo ametangaza nia yake ya kuwania kiti cha urais mwakani.

  • Mamia ya Wanigeria wafanya tena maandamano mjini Abuja kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Mamia ya Wanigeria wafanya tena maandamano mjini Abuja kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Oct 06, 2018 11:36

    Waislamu nchini Nigeria wamefanya tena maandamano kulalamikia kuendelea kushikiliwa kiongozi wao Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye bado yuko jela licha ya Mahakama Kuu ya Nigeria kutoa amri ya kuchiliwa huru mwaka 2016.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS