Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Waislamu DRC ni waungaji mkono wa Quds na kadhia nzima ya Palestina + Video

    Waislamu DRC ni waungaji mkono wa Quds na kadhia nzima ya Palestina + Video

    Apr 04, 2024 08:08

    Masheikh wawili maarufu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamezungumzia umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na uungaji mkono wa Waislamu wa nchi hiyo kwa kadhia nzima ya Palestina hususan Ghaza.

  • Yemen: Siku ya Kimataifa ya Quds imeibakisha hai kadhia ya Palestina

    Yemen: Siku ya Kimataifa ya Quds imeibakisha hai kadhia ya Palestina

    Apr 04, 2024 08:01

    Katibu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds imeyabakisha hai mapambano ya ukombozi wa Palestina.

  • Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah

    Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah

    Apr 01, 2024 03:22

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za maana kimataifa ili kuzuia mashambulizi ya kivamizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.

  • Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na Gaza yafanyika katika nchi mbalimbali

    Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na Gaza yafanyika katika nchi mbalimbali

    Mar 31, 2024 07:58

    Wananchi huko Italia, Norway, Marekani, Japan na Morocco kwa mara nyingine tena wameandamana kulaani mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina yanayofanywa na wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.

  • Licha ya kuikosoa Israel hadharani, Biden ameidhinisha kwa siri silaha mpya za kuwaulia Wapalestina

    Licha ya kuikosoa Israel hadharani, Biden ameidhinisha kwa siri silaha mpya za kuwaulia Wapalestina

    Mar 30, 2024 22:48

    Rais Joe Biden wa Marekani hivi karibuni ameidhinisha kwa siri kupatiwa utawala wa Kizayuni wa Israel silaha mpya za kivita zenye gharama ya mabilioni ya dola zikiwemo aina za kisasa za mabomu na ndege za kivita.

  • Meja Jenerali Bagheri: Jibu la Israel kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni mauaji ya watu wasio na hatia

    Meja Jenerali Bagheri: Jibu la Israel kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni mauaji ya watu wasio na hatia

    Mar 29, 2024 22:58

    Mkuu wa Majeshi ya Iran amesema kuwa, jibu la utawala wa Kizayuni wa Israel kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni kuwaua tu watu wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, kuharibu hospitali na kusababisha njaa.

  • Spika Qalibaf: Ulimwengu wote wa Kiislamu una wajibu wa kuunga mkono Muqawama wa taifa la Palestina

    Spika Qalibaf: Ulimwengu wote wa Kiislamu una wajibu wa kuunga mkono Muqawama wa taifa la Palestina

    Mar 29, 2024 04:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amepongeza istikama na kusimama imara kusio na mfano kwa Muqawama na wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na akasema, Ulimwengu mzima wa Kiislamu una wajibu wa kuliunga mkono taifa la Palestina katika vita visivyo na mlingano na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.

  • Wapalestina: Gati ya muda inayotaka kujenga Marekani Ghaza ni

    Wapalestina: Gati ya muda inayotaka kujenga Marekani Ghaza ni "Bandari ya Uvamizi"

    Mar 29, 2024 03:54

    Wapalestina wanaielezea gati ya muda inayojengwa na Marekani kwenye pwani ya mji wa Ghaza kuwa ni "bandari ya uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu".

  • Kiongozi Mkuu: Ghaza ndiyo mshindi mkuu kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi

    Kiongozi Mkuu: Ghaza ndiyo mshindi mkuu kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi

    Mar 29, 2024 00:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza ndio washindi kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi na akasisitiza kwa kusema: kilele cha kuheshimika na kusimama imara watu wa Ghaza na Palestina na kushindwa utawala wa Kizayuni katika vita hivyo vya miezi sita ni tukio na jambo lenye rehma za Mwenyezi Mungu.

  • Erdogan: Dunia iishinikize Israel itekeleze azimio la Baraza la Usalama la UN

    Erdogan: Dunia iishinikize Israel itekeleze azimio la Baraza la Usalama la UN

    Mar 28, 2024 23:08

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan ameitaka jamii ya kimataifa iendelee kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze azimio la kutaka kusitishwa mara moja mapigano huko Gaza, lililopasishwa majuzi na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS