-
Rais al-Assad: Mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria
Sep 24, 2017 00:02Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, akthari ya mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria, lakini tawala za Warabu zinawaunga mkono magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Damascus.
-
Wabunge wa upinzani Uganda wadai kutishiwa maisha
Sep 20, 2017 23:18Wabunge wa vyama vya upinzani nchini Uganda wamesema serikali inawatishia maisha masaa machache kabla ya bunge la nchi hiyo kujadili muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo.
-
Museveni: Kikomo cha umri wa kuwania urais Uganda kitaamuliwa na Bunge
Sep 14, 2017 10:14Rais Yoweri Museveni wa Uganda amejitosa kwenye mjadala kuhusu kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo na kusisitiza kuwa, kauli ya mwisho kuhusu kadhia hiyo itatolewa na Bunge la nchi hiyo.
-
Upinzani Togo: Tutasitisha maandamano iwapo rais atajiuzulu
Sep 09, 2017 03:12Kiongozi wa upinzani nchini Togo amesema maandamano ya wapinzani dhidi ya serikali ya nchi hiyo yataendelea kushuhudiwa madhali Rais Faure Gnassingbe wa nchi hiyo ataendelea kung'ang'ania madaraka.
-
Rais Buhari wa Nigeria kutowania muhula wa pili mwaka 2019
Sep 07, 2017 09:36Waziri mmoja wa ngazi za juu nchini Nigeria amesema Rais Muhamadu Buhari wa nchi hiyo hatagombea muhula wa pili katika kinyang'anyiro cha urais kinachotazamiwa kufanyika mwaka 2019.
-
Rais wa Zambia apongeza kustawi kukubwa uchumi wa Iran
Aug 30, 2017 10:52Rais Edgar Lungu wa Zambia amepongeza ukuaji wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sanjari na kuwepo uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya Tehran na Lusaka.
-
Rais Lungu asema ni lazima kupimwa HIV/UKIMWI nchini Zambia
Aug 16, 2017 23:41Rais Edgar Lungu wa Zambia amesema sasa ni lazima wananchi wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kufanyiwa vipimo vya virusi vya HIV vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Ukimwi, ikiwa ni katika jitihada za taifa hilo kulitokomeza jinamizi hilo kikamilifu kufikia mwaka 2030.
-
Wanigeria waandamana, wamtaka Buhari ajiuzulu
Aug 14, 2017 02:50Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano makubwa wakitaka Rais Muhammadu Buhari wa nchi hiyo aliyeko London nchini Uingereza arejee nyumbani na kujiuzulu.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini anusurika na shoka la Bunge kwa mara ya 7
Aug 09, 2017 02:34Kwa mara nyingine tena Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kuenguliwa madarakani baada ya kupataka uungaji mkono hafifu wa chama tawala ANC katika kura ya kutokuwa na imani naye Bungeni.
-
Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018
Aug 06, 2017 02:34Kinara wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai ametangaza kuungana na wapambe wake wa zamani kwa shabaha ya kuunda muungano mmoja wenye nguvu ili waweze kumundoa madarakani Rais Robert Mugabe katika uchaguzi mkuu mwakani.