Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Uzalishaji gesi kuongezeka  kufikia mwishoni wa mwaka huu

    Rouhani: Uzalishaji gesi kuongezeka kufikia mwishoni wa mwaka huu

    Aug 01, 2016 03:27

    Rais wa Iran amesisitiza kutumiwa mazingira yaliyojitokeza baada ya makubaliano ya JCPOA kwa ajili ya kustafidi na teknolojia mpya na kueleza kuwa uzalishaji wa gesi nchini Iran utaongezeka kwa mita mraba milioni 140 kwa siku hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

  • Rais Rouhani asisitiza mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    Rais Rouhani asisitiza mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    Jul 25, 2016 09:54

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuzidishwa ushirikiano wa kieneo na kimataifa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya.

  • Rais Rouhani: Timu ya Iran katika michezo ya Olimpiki ni balozi wa amani, maadili

    Rais Rouhani: Timu ya Iran katika michezo ya Olimpiki ni balozi wa amani, maadili

    Jul 21, 2016 02:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka wanamichezo wa timu ya Iran katika michezo ya Olimpiki nchini Brazil kubeba ujumbe wa amani na maadili.

  • Rais Rouhani ahutubia Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Miji na Mameya

    Rais Rouhani ahutubia Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Miji na Mameya

    Jul 20, 2016 11:42

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesiistiza juu ya ulazima wa kuweko ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kuwa na amani ya kudumu duniani kote.

  • Rouhani: Ikilazimu, Iran itarejea katika mpango wa awali wa nyuklia

    Rouhani: Ikilazimu, Iran itarejea katika mpango wa awali wa nyuklia

    Jul 13, 2016 10:51

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuheshimu na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna, lakini ameonya kuwa Tehran haitasita kutoa jibu iwapo upande wa pili utakosa kutekeleza makubaliano hayo ipasavyo.

  • Rouhani: Iran itaendelea kupambana na ugaidi

    Rouhani: Iran itaendelea kupambana na ugaidi

    Jul 11, 2016 12:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran itaendelea kutetea heshima na hadhi ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) kupitia njia ya kupambana na ugaidi bega kwa bega na wananchi na serikali ya Iraq.

  • Rouhani: Ugaidi ni tishio kwa dunia nzima

    Rouhani: Ugaidi ni tishio kwa dunia nzima

    Jul 06, 2016 00:02

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa mkono wa kheri na nafaka kwa kuwadia sherehe za Idul-Fitri na kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa marais wa nchi za Kiislamu na kusema kuwa, jinamizi la ugaidi ni tishio sio tu kwa nchi jirani na marafiki wa Jamhuri ya Kiislamu katika eneo hili Mashariki ya Kati, bali kote duniani.

  • Rais Rouhani: Iran itaendelea kuzisaidia nchi jirani

    Rais Rouhani: Iran itaendelea kuzisaidia nchi jirani

    Jun 15, 2016 11:06

    Rais Hassan Rouhani amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuzisaidia nchi jirani kwa madhumuni ya kurejesha amani na usalama katika nchi hizo.

  • Iran yazitaka nchi za Kiislamu kupambana na misimamo mikali

    Iran yazitaka nchi za Kiislamu kupambana na misimamo mikali

    Jun 07, 2016 02:54

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka viongozi wa nchi za Kiislamu kushirikiana na kufanya kazi bega kwa bega kwa lengo la kukabiliana na misimamo ya kufurutu ada.

  • Rouhani: Inachotaka Iran ni kuona amani na uthabiti katika eneo

    Rouhani: Inachotaka Iran ni kuona amani na uthabiti katika eneo

    Jun 06, 2016 02:53

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema fahari ya Jamhuri ya Kiislamu ni kuona amani na uthabiti vinatamalaki katika eneo la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS