-
Kituo cha polisi chashambuliwa Somalia, 23 wauawa na kujeruhiwa
Jun 05, 2017 09:39Watu watatu wameuawa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa katika shambulizi la guruneti dhidi ya kituo cha polisi nchini Somalia mapema leo Jumatatu.
-
Maafisa polisi 7, raia 1 wauawa katika shambulizi la bomu Lamu, Kenya
May 31, 2017 10:30Maafisa saba wa polisi ya utawala wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa kando ya barabara katika kaunti ya Lamu, kusini mashariki mwa Kenya.
-
Misri: Kuna uwezekano tukashambuliwa tena na magaidi
May 28, 2017 23:31Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imesema kuwa, kuna uwezekano makundi ya kigaidi yakafanya tena mashambulizi nchini humo, hivyo imevitaka vikosi vya usalama kuchukua hatua kali za kiusalama kukabiliana na jambo hilo.
-
Shambulio la kigaidi nchini Misri
May 27, 2017 06:21Watu wasiopungua 28 waliuawa nchini Misri na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la jana Ijumaa dhidi ya mabasi mawili yaliyokuwa yamewabeba Wakristo wa Kibti kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Cairo.
-
Askari polisi 5 wa Kenya wauawa katika shambulizi la bomu
May 25, 2017 09:29Kwa akali maafisa watano wa polisi nchini Kenya wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Magaidi wa ISIS washambulia kambi ya wakimbizi Syria na kuua 36
May 02, 2017 23:15Kwa akali watu 36 wameuawa katika shambulizi la kigaidi dhidi ya kambi ya wakimbizi lililofanywa jana Jumanne na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Askari 8 wa Somalia wauawa katika shambulizi la bomu, Puntland
Apr 23, 2017 09:33Wanajeshi wanane wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Polisi ya Ufaransa: Mtekelezaji wa shambulizi la Paris alikuwa mhalifu sugu
Apr 21, 2017 23:13Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa, mtu aliyehusika na shambulizi la jana mjini Paris alikuwa na historia ya uhalifu na kufungwa jela.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya mabasi huko Aleppo, Syria
Apr 16, 2017 00:13Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya mabomu dhidi ya mabasi yaliyokuwa yanawahamisha watu kutoka vijiji ambavyo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Larijani: Lengo la makundi ya kigaidi ni kuzusha udini duniani
Apr 11, 2017 10:52Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya makanisa mawili nchini Misri siku ya Jumapili iliyopita ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa huku akisisitiza kuwa, lengo la magaidi ni kuzusha mifarakano ya kidini duniani.