-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi Istanbul, Uturuki
Jun 29, 2016 23:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya uwanja wa ndege mjini Istambul nchini Uturuki, yaliyosababisha vifo vya makumi ya watu na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya kigaidi huko Istanbul Uturuki
Jun 29, 2016 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye uwanja wa ndege wa Istanbul Uturuki.
-
46 waua na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya msikiti Iraq
Jun 28, 2016 01:58Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja viungani mwa Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
-
Shambulio la kigaidi nchini Somalia
Jun 26, 2016 06:20Shambulio la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab dhidi ya hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kwa mara nyingine tena limepelekea zaidi ya watu 40 kuuawa na kujeruhiwa.
-
Iran yatibua shambulizi la kigaidi dhidi ya Tehran
Jun 20, 2016 02:34Vyombo vya usalama nchini Iran vimetibua njama ya kutekelezwa shambulizi la kigaidi hapa mjini Tehran na kuwatia mbaroni watuhumiwa kadhaa wa njama hizo za kigaidi.
-
5 wahukumiwa maisha jela Uganda kwa mashambulizi ya kigaidi Kampala
May 28, 2016 03:21Mahakama Kuu ya Uganda imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, watu watano miongoni mwa wanane waliopatikana na hatia ya kuhusika katika mashambulizi pacha mjini Kampala, wakati wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010.
-
Matukio ya hivi karibuni ya Syria kufuatia kuzidi kupata pigo magaidi
May 24, 2016 01:28Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa, miripuko ya siku za hivi karibuni ikiwemo ile iliyotokea jana magharibi mwa nchi hiyo ni ishara ya wazi kuwa magaidi wameshindwa katika medani za mapambano.
-
Iran yalaani wimbi la mashambulizi ya kigaidi ya Daesh Iraq
May 18, 2016 23:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, ambalo limesababisha vifo vya mamia ya watu tokeo Jumatano ya wiki iliyopita.
-
Watu 58 wauawa katika mashambulizi ya bomu Baghdad, Iraq
May 17, 2016 09:23Kwa akali watu 58 wameuawa na wengine zaidi ya 90 wamejeruhiwa katika mashambulizi matatu ya bomu yaliyoutikisa mji mkuu wa Iraq, Baghdad hii leo.
-
Trump: Wakimbizi wa Syria wanapanga shambulizi kama la Septemba 11
May 16, 2016 02:24Donald Trump, mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani kwa mara nyingine tena ametoa matamshi yanayodhihirisha misimamo yake ya chuki na ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na wageni. Trump amedai kuwa wakimbizi wa Syria nchini Marekani wanapanga njama ya kufanya shambulizi la kigaidi kama la Septemba 11.