-
Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan
Nov 28, 2018 07:39Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umeonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya watoto wa Afghanistan, ambao wanakodolewa macho na ghasia na umwagaji damu kila uchao.
-
UN: Mapigano Libya yawaweka watoto laki 5 katika hatari kubwa
Sep 25, 2018 07:58Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umetadharisha kuwa, watoto laki tano wapo katika hatari kubwa ya kupoteza maisha kutokana na mapigano yaliyoshtadi katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Unicef: Katika kila dakika 3, binti mmoja anaambukizwa virusi vya HIV
Jul 26, 2018 07:41Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema mabinti na wanawake wenye umri kati ya miaka 15 na 19 wanajenga thuluthi mbili ya watu walioambukizwa virusi hatari vya HIV mwaka jana 2017.
-
Unicef: Watoto zaidi ya elfu 5 wameuawa, kujeruhiwa katika hujuma za Saudia, Yemen
Jul 04, 2018 03:50Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) ametahadharisha kuhusu hali ya kutisha inayowakabili watoto wa Yemen kutokana na mashambulizi ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini jirani yake.
-
UNICEF: Nchi za Afrika zinaongoza kwa ndoa za utotoni
Mar 06, 2018 08:07Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema ingawaje tabia ya kuozwa kwa lazima mabinti wadogo imepungua duniani, lakini nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika kwa sasa zinaongoza kwa uozo huo.
-
UNICEF yataka watoto wanaotumia intaneti walindwe
Dec 13, 2017 03:55Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linasema wakati fursa ya matumizi ya mtandao wa intaneti ikiongezeka ni lazima dunia hii ya kidijitali iyafanye matumizi hayo kuwa salama kwa watoto ili yaweze kunufaisha hasa wale walio katika hatari zaidi.
-
UNICEF: Watoto 18 wanaambukizwa HIV/Ukimwi kwa kila saa moja
Dec 01, 2017 07:52Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto 18 huambukizwa virusi vya HIV katika kila saa moja kote duniani, ishara kwamba jitihada za makusudi zingali zinahitajika kuzuia maambukizi ya virusi hivyo vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Ukimwi miongoni mwa vijana na watoto wadogo.
-
UNICEF: Mashambulio ya Boko Haram kwa kutumia watoto wanaojiripua yameongezeka mara nne
Aug 23, 2017 03:47Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa kuhudumia watoto UNICEF umetangaza kuwa idadi ya watoto wanaotumiwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria kufanya mashambulio ya kujitoa mhanga imeongezeka mara nne mwaka huu kulinganisha na mwaka uliopita wa 2016.
-
Watoto laki 4 katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa Nigeria
Dec 14, 2016 14:17Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa mamia ya maelfu ya watoto nchini Nigeria wako katika hatari ya kuaga dunia kutokana na vita, njaa na lishe duni.
-
UNICEF: Maisha ya watoto milioni 300 yako hatarini kutokana na kuzidi kuchafuka hali ya hewa duniani
Oct 31, 2016 07:36Moja ya saba ya watoto duniani wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na hali chafu mno ya hewa.