-
Somalia yaitaka UN iiondolee vikwazo vya silaha
Sep 30, 2018 10:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Somalia ameutaka Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo vya muda mrefu vya silaha dhidi ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
UN yataka nchi za dunia ziwasaidie Wasomali walioathirika na migogoro na ukame
Sep 04, 2018 23:12Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia ameitaka jamii ya kimataifa kuendelea kutoa misaada kwa watu walioathirika na migogoro, ukame wa mwaka 2017 pamoja na mafuriko na kimbunga nchini Somalia hivi karibuni.
-
Sita wauawa katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia
Sep 02, 2018 08:53Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya gaidi mmoja kushambulia kwa bomu ofisi ya serikali za mitaa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Idadi ya Wasomali waliofukuzwa makwao yaongezeka maradufu
Aug 28, 2018 08:23Idadi ya Wasomali waliolazimika kukimbia makazi yao imeongezeka mwaka huu na maelfu miongoni mwao wamekuwa wakimbizi tena kutoka kwenye makazi yao ya muda walikokimbilia kutokana na vita, ukame na mafuriko.
-
Rais wa Somalia auzulu na kuteua maafisa wapya wa nyadhifa mbalimbali
Aug 17, 2018 11:01Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia amefanya mabadiliko mapya kwa kumteua mkuu mpya wa majeshi pamoja na mkuu wa idara ya upelelezi ya nchi hiyo.
-
Wanajeshi 3 Wasomali wauawa katika hujuma ya kigaidi nje ya Mogadishu
Aug 05, 2018 11:03Wanajeshi wasiopungua watatu wa Somalia wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi katika wilaya ya Afgoye iliyo kilomita 30 kaskaini magharibi mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Askari usalama wavamia jengo la wizara ya mambo ya nje ya Somalia
Aug 04, 2018 22:03Duru za habari Somalia zimeripoti kuwa askari usalama wamevamia jengo la Wizara ya Mambo ya Nje katika mji mkuu Mogadishu kwa lengo la kumtia nguvuni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo.
-
Djibouti yakasirishwa na ombi la Somalia la kutaka Eritrea iondolewe vikwazo vya silaha
Aug 03, 2018 11:03Ubalozi wa Djibouti mjini Mogadishu, Somalia umetangaza kushutushwa na wito wa Rais Mohammad Abdullahi Farmajo wa kutaka Eritrea iondolewe vikwazo vya silaha.
-
Umoja wa Mataifa waongeza muda wa kuhudumu AMISOM nchini Somalia
Jul 31, 2018 23:56Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudu wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika, AMISOM, nchini Somalia.
-
Eritrea na Somalia zasaini makubaliano ya kuhuisha uhusiano kati ya pande mbili
Jul 30, 2018 23:44Serikali ya Eritrea imetangaza kuwa imesaini makubaliano na Somalia kwa lengo la kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia na kubadilishana mabalozi kati ya nchi mbili hizo.