Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Maadui wa ash Shabab wateka mji Somalia

    Maadui wa ash Shabab wateka mji Somalia

    Oct 26, 2016 13:01

    Maafisa wa serikali wa Somalia wamethibitisha habari iliyosema kuwa, kundi moja la wapinzani wa ash Shabab ambalo linaliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh, limeteka mji mmoja wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • UN: Maelfu ya Wasomalia wakimbia mapigano, mvua zinatishia maisha yao

    UN: Maelfu ya Wasomalia wakimbia mapigano, mvua zinatishia maisha yao

    Oct 25, 2016 02:27

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, zaidi ya watu elfu 75 wamekimbia makazi yao na wengine 18 wameuawa katika wiki tatu za mapigano yanayoendelea nchini Somalia.

  • Mripuko wa Bomu wautikisa mji wa Mogadishu

    Mripuko wa Bomu wautikisa mji wa Mogadishu

    Oct 24, 2016 04:19

    Mtu moja ameuawa na wengine wawili wamejeruhiwa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu wakati bomu lilipolipuka jana Jumapili, karibu na kambi ya wakimbizi.

  • AU yafanya uchunguzi kuhusu vitendo vya wanajeshi wake Somalia

    AU yafanya uchunguzi kuhusu vitendo vya wanajeshi wake Somalia

    Oct 22, 2016 03:44

    Umoja wa Afrika AU umesema, umeanzisha uchunguzi wa kubaini ni katika mazingira gani, askari wa kikosi cha AMISOM nchini Somalia walifanya mauaji dhidi ya raia.

  • Ash-Shabab wafanya shambulio karibu na mji mkuu wa Somalia na kuua watu 10

    Ash-Shabab wafanya shambulio karibu na mji mkuu wa Somalia na kuua watu 10

    Oct 19, 2016 04:33

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab nchini Somalia limefanya shambulizi katika mji wa kistratijia ulio karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.

  • Umoja wa Afrika (AU) watilia mkazo kurejeshwa amani ya kudumu Somalia

    Umoja wa Afrika (AU) watilia mkazo kurejeshwa amani ya kudumu Somalia

    Oct 16, 2016 04:21

    Kikosi cha kudumisha amani cha Umoja wa Afrika huko Somalia (AMISOM) kimesisitiza kuhusu sualal la kurejesha amani ya kudumu katika maeneo yote ya nchi hiyo.

  • UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia

    UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia

    Oct 04, 2016 04:32

    Umoja wa Mataifa umesema robo ya wakimbizi wa Kisomali wanaoishi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya wametangaza utayarifu wao wa kurejea nchini kwao Somalia karibuni hivi.

  • UNHCR imewarejesha wakimbizi zaidi ya 30,000 wa Somalia kutoka Kenya

    UNHCR imewarejesha wakimbizi zaidi ya 30,000 wa Somalia kutoka Kenya

    Sep 30, 2016 04:26

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema kuanzia mwezi Desemba mwaka 2014 wakimbizi zaidi ya elfu 30 wa Somalia wamerejeshwa kwa hiari katika nchi yao kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mashariki mwa Kenya.

  • Marekani yadai kufanya makosa katika kuwaua askari 22 wa Somalia

    Marekani yadai kufanya makosa katika kuwaua askari 22 wa Somalia

    Sep 29, 2016 03:42

    Askari wa Marekani wametuhumiwa kuhusika na mauaji ya askari 22 wa Somalia katika kile kinachodaiwa kuwa ni makosa yaliyofanyika katika urushaji makombora ya ndege kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Mjumbe wa UN alaani mauaji ya mwandishi habari Somalia

    Mjumbe wa UN alaani mauaji ya mwandishi habari Somalia

    Sep 29, 2016 01:08

    Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Michael Keating amelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Radio Shabelle Abdiaziz Mohamed Ali yaliyotekelezwa Jumanne na watu wasiojulikana mjini Mogadishu Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS