-
Kuongezeka opereseheni za jeshi la Somalia dhidi ya ash Shabab
May 02, 2016 12:27Kamanda mmoja wa jeshi la Somalia amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limeshadidisha operesheni zake dhidi ya kundi la ash Shabab kusini mwa nchi hiyo.
-
Askari 15 wa Somalia wauawa katika hujuma ya al-Shabaab
May 01, 2016 09:39Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeua askari 15 wa jeshi la Somalia sanjari na kuchukua udhibiti wa mji wa Runirgood, yapata kilomita 180 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.
-
Umoja wa Mataifa: Hali ya usalama nchini Somalia bado ni tete
Apr 23, 2016 22:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, hali ya usalama nchini Somalia bado ni tete.
-
Al Shabab 14 watiwa mbaroni nchini Somalia
Apr 18, 2016 12:24Wizara ya Usalama wa Taifa ya Somalia imesema kuwa, nchi hiyo imeshadidisha operesheni zake za kiusalama na kijasusi dhidi ya kundi la al Shabab, operesheni ambazo zimefanikisha kutiwa mbaroni wanamgambo 14 wa kundi hilo.
-
AMISOM yaomba msamaha kwa kuua raia wa Somalia
Apr 17, 2016 23:33Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimetoa taarifa rasmi ya kuomba msamaha kwa kuua 'kimakosa' raia wanne wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu watatu wauawa katika mripuko Somalia
Apr 13, 2016 23:18Watu watatu wameuawa na wengine wasiopungua sita kujeruhiwa katika mlipuko ulitokea jana Jumatano katika soko lililokuwa na watu wengi huko Somalia.
-
Al Shabab washambulia kituo cha polisi Kenya
Apr 10, 2016 10:42Magaidi wameshambulia kituo cha polisi katika mpaka wa Kenya na Somalia na kupora gari la polisi na kombora moja.
-
Makamanda saba wa Al Shabab wauawa Somalia
Apr 05, 2016 09:50Makamanda saba wa kundi la kigaidi la Al Shabab wameuawa Somalia katika oparesheni za pamoja za Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Somalia AMISOM na jeshi la nchi hiyo.
-
Ash Shabaab yamnyonga Mtanzania kwa tuhuma za ujasusi
Apr 03, 2016 23:27Raia wa Tanzania aliyejiunga na kundi la al Shabaab la nchini Somalia amenyongwa na kundi hilo kwa tuhuma za ujasusi.
-
UN yahitaji $M 105 kuokoa maisha kwenye ukame Somalia
Apr 01, 2016 03:24Mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu nchini Somalia yamezindua ombi la msaada wa dola milioni 105 kwa minajili ya kunusuru maisha na kujenga uthabiti wa zaidi ya watu milioni moja katika maeneo yaliyoathiriwa na ukame kaskazini mwa Somalia