Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Mkuu wa Jeshi la Sudan akataa kuzungumza na RSF, aahidi ushindi wa kishindo dhidi yake

    Mkuu wa Jeshi la Sudan akataa kuzungumza na RSF, aahidi ushindi wa kishindo dhidi yake

    Aug 29, 2023 03:47

    Mkuu wa jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amefutilia mbali suala la kufanya mazungumzo ya aina yoyote na kundi la wanamgambo hasimu wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF), na kuahidi kwamba jeshi litapata ushindi wa kishindo dhidi ya kundi hilo.

  • UN yatahadharisha kuhusu hatari ya maafa ya binadamu nchini Sudan

    UN yatahadharisha kuhusu hatari ya maafa ya binadamu nchini Sudan

    Aug 26, 2023 04:31

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya kibinadamu amesema mzozo wa Sudan unaweza kulitumbukiza eneo zima kwenye maafa ya binadamu.

  • RSF yadai kwamba imeua wanajeshi 260 wa Sudan

    RSF yadai kwamba imeua wanajeshi 260 wa Sudan

    Aug 23, 2023 06:51

    Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) vimedai kuwa vimewaua mamia ya askari wa vikosi vya Jeshi la Sudan, huku mapigano baina ya pande mbili hizo yakishtadi.

  • UNICEF: Dola milioni 400 zinahitajika ili kutoa msaada kwa watoto milioni 9 wa Sudan

    UNICEF: Dola milioni 400 zinahitajika ili kutoa msaada kwa watoto milioni 9 wa Sudan

    Aug 19, 2023 22:57

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa linahitaji dola milioni 400 ili kutoa msaada kwa watoto milioni 9 kati ya watoto walio katika mazingira magumu zaidi nchini Sudan.

  • Mapigano makali yaripotiwa kusini mwa Khartoum baina ya jeshi la Sudan na kikosi cha RSF

    Mapigano makali yaripotiwa kusini mwa Khartoum baina ya jeshi la Sudan na kikosi cha RSF

    Aug 14, 2023 00:30

    Duru za Sudan zinaripoti kuwa, mapigano makali yameshuhudiwa kusini mwa mji mkuu Khartoum baina ya Jeshi la Sudan na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF).

  • Jarida la Wall Street: Imarati imetuma silaha kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko Sudan

    Jarida la Wall Street: Imarati imetuma silaha kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko Sudan

    Aug 11, 2023 04:26

    Jarida la Kimarekani la Wall Street Journal limefichua katika ripoti yake kwamba Umoja wa Falme za Kiarabu unatoa misaada ya kijeshi kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), vinavyopigana na jeshi la Sudan kwa miezi kadhaa sasa.

  • WHO: Asilimia 40 ya Wasudan wanasumbuliwa na njaa

    WHO: Asilimia 40 ya Wasudan wanasumbuliwa na njaa

    Aug 10, 2023 22:49

    Shirika la Afya Dunia (WHO) limetangaza kuwa, asilimia 40 ya wananchi wa Sudan wakabiliwa na baa la njaa.

  • Amnesty International: Uhalifu wa kutisha wa kivita unafanyika nchini Sudan

    Amnesty International: Uhalifu wa kutisha wa kivita unafanyika nchini Sudan

    Aug 04, 2023 08:39

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake mpya kwamba uhalifu mkubwa wa kivita unafanywa nchini Sudan, na kwamba raia kote nchini humo wanaishi katika hufo na woga "usiofikirika".

  • Hemedti atoa masharti kwa ajili ya kurejeshwa utulivu huko Sudan

    Hemedti atoa masharti kwa ajili ya kurejeshwa utulivu huko Sudan

    Jul 29, 2023 04:21

    Kamanda wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka vya Sudan (RSF) ametaka kuuzuliwa kamanda wa jeshi la nchi hiyo ili kurejesha utulivu nchini humo.

  • Watu 16 wauawa katika mashambulizi mapya Khartoum, Sudan

    Watu 16 wauawa katika mashambulizi mapya Khartoum, Sudan

    Jul 26, 2023 02:41

    Watu wasiopungua 16 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga na ardhini viungani mwa Khartoum, mji mkuu wa Sudan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS