Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Raia milioni mbili wakimbia Sudan Kusini

    Raia milioni mbili wakimbia Sudan Kusini

    Jan 08, 2017 10:22

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya milioni mbili walikimbilia Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwaka jana kwa ajili ya kutafuta hifadhi.

  • Sudan na Sudan Kusini zaafikiana kuhusu kusafirisha msaada wa kibinadamu

    Sudan na Sudan Kusini zaafikiana kuhusu kusafirisha msaada wa kibinadamu

    Jan 06, 2017 04:33

    Serikali za Sudan na Sudan Kusini zimerefusha muda wa makubaliano ya pamoja kuhusu Sudan Kusini kupokea misaada ya kibinadamu kupitia ardhi ya Sudan kwa miezi sita zaidi.

  • Sudan yaongeza muda wa usitishaji vita katika maeneo yenye mzozo

    Sudan yaongeza muda wa usitishaji vita katika maeneo yenye mzozo

    Jan 01, 2017 13:05

    Rais wa Sudan ametangaza kuongeza muda wa usitishaji vita kwa mwezi mmoja mwingine katika maeneo yanayozozaniwa nchini humo.

  • Machar: Jumuiya za kimataifa zisitishe mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Machar: Jumuiya za kimataifa zisitishe mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Dec 25, 2016 12:19

    Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini amezitaka jumuiya za kimataifa zisaidie jutihada za kukomesha mgogoro wa kisiasa nchini humo.

  • Kuundwa kamati ya mazungumzo ya kitaifa; hatua moja mbele ya kurejesha amani na utulivu Sudan Kusini

    Kuundwa kamati ya mazungumzo ya kitaifa; hatua moja mbele ya kurejesha amani na utulivu Sudan Kusini

    Dec 24, 2016 00:16

    Kuendelea mgogoro nchini Sudan Kusini, kuongezeka machafuko na wahanga wa machafuko hayo kwa upande mmoja, na kwa upande mwingine, kufanyika juhudi kieneo na kimataifa za kukomesha mauaji nchini humo, vimemfanya Rais Salva Kiir achukue hatua ya kuunda "Kamati ya Mazungumzo ya Kitaifa" kwa lengo la kuhitimisha mgogoro huo.

  • Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini

    Dec 23, 2016 23:39

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini, ambayo inashuhudia mapigano kwa mwaka wa nne sasa.

  • Onyo la Ban kuhusu uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Onyo la Ban kuhusu uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini

    Dec 20, 2016 11:15

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeondoka Ban Ki-Moon ameonya kuhusu uwezekano wa kuibuka mauaji ya kimbari Sudan Kusini iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

  • Ban akariri wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini

    Ban akariri wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini

    Dec 20, 2016 04:28

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa Sudan Kusini iko katika ncha ya kushuhudia mauaji ya kimbari iwapo hatua za dharura hazitachukuliwa, huku akikariri wito wake wa kutaka nchi hiyo iwekewe vikwazo vya silaha.

  • Juhudi zaidi za kuleta amani Sudan Kusini zinahitajika

    Juhudi zaidi za kuleta amani Sudan Kusini zinahitajika

    Dec 18, 2016 10:33

    Mkuu wa Kamati ya Kusimamia Utekelezaji wa Makubaliano ya Amani ya Sudan Kusini ametaka juhudi zaidi zifanyike kwa ajili ya kurejea amani na utulivu nchini humo.

  • Watoto 17,000 watumika kama askari Sudan Kusini

    Watoto 17,000 watumika kama askari Sudan Kusini

    Dec 17, 2016 04:31

    Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema kuna watoto elfu 17 wanaotumiwa kama askari wa makundi ya wapinzani nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS