-
Juba yapinga kutumwa wanajeshi wa kulinda amani katika mipaka ya Sudan mbili
Jul 31, 2016 23:28Sudan Kusini imesisitiza kuwa kikosi cha kulinda amani cha Kiafrika hakiwezi kutumwa katika mipaka ya pamoja ya nchi hiyo na Sudan.
-
Sudan Kusini kuzishawishi UN na IGAD zikubali mabadiliko ya uongozi
Jul 31, 2016 11:49Serikali ya umoja wa kitaifa ya Sudan Kusini imemteua Makamu mpya wa Rais aliyechukua nafasi ya Riek Machar kuufafanulia Umoja wa Mataifa sababu za kufanyika mabadiliko ya uongozi ndani ya chama cha upinzani cha SPLM-IO.
-
Ombi la mashirika ya utoaji misaada Sudan Kusini kwa Umoja wa Mataifa
Jul 30, 2016 10:26Mashirika yanayofanya kazi ya kutoa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini yametoa taarifa ya pamoja na kutangaza kuwa Umoja wa Mataifa unapaswa kuandaa mazingira ya ufikishaji misaada kwa waathirika wa vita vya ndani nchini humo.
-
Mashirika ya misaada Sudan Kusini yaitaka UN kuwasaidi walioathiriwa na vita
Jul 29, 2016 22:09Mashirika ya misaada ya kibinadamu yanayohudumu Sudan Kusini yameutaka Umoja wa Mataifa uandae uwanja mzuri wa kuwasaidia raia walioathiriwa na vita vya ndani nchini humo.
-
Kiir: Nafasi ya Machar ilijazwa na SPLM yenyewe, sio mimi
Jul 28, 2016 11:01Serikali ya Sudan Kusini imepuuzlilia mbali onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu uteuzi wa viongozi wa kisiasa nchini humo na haswa uteuzi wa Makamu wa Rais mpya aliyechukua nafasi ya Riek Machar.
-
Sudan Kusini yakanusha tetesi za kuuawa Machar
Jul 28, 2016 00:21Sudan Kusini imekanusha tetesi kwamba kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo Riek Machar ameuawa.
-
Kesi 290 za kipindupindu zaripotiwa Sudan Kusini
Jul 26, 2016 22:11Wizara ya Afya Sudan Kusini imethibitisha kutokea mripuko wa kipindupindu nchini humo huku kesi karibu 300 za ugonjwa huo zikiripotiwa.
-
Kuongezeka mgawanyiko wa kisiasa Sudan Kusini
Jul 25, 2016 06:48Mgawanyiko wa kisaisa umeshadidi huko Sudan Kusini kufuatia Riek Machar kiongozi wa waasi wa nchi hiyo kumfukuza Taban Deng Gai kwa upande mmoja; na matamshi ya kiwanagenzi ya Deng Gai na sisitizo lake la kusalia katika nafasi yake kwa upande wa pili.
-
Machar apuuza makataa ya masaa 48 ya Kiir kumtaka arejee Juba
Jul 22, 2016 23:39Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amekataa kuheshimu makataa ya masaa 48 aliyopewa na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo awe amerejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
-
Wapinzani: Kuna njama ya kujaza nafasi ya Machar Sudan Kusini
Jul 24, 2016 03:21Wafuasi wa karibu wa Riek Machar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini wamedai kuwa Rais Salva Kiir anapanga njama ya kujaza nafasi ya Machar ambaye kwa sasa hayuko katika mji mkuu Juba.