-
UNHCR: Raia wengi wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini Uganda
Jul 22, 2016 03:33Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, machafuko ya hivi karibuni nchini Sudan Kusini, yamewafanya raia wengi wa nchi hiyo kukimbilia nchini Uganda.
-
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amtaka Machar arejee mjini Juba
Jul 21, 2016 23:46Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemtaka Riaek Machar, Makamu wake wa Rais kurejea mjini Juba, mji mkuu wa nchi hiyo na kwamba njia hiyo itasaidia kurejesha usalama mjini hapo.
-
UN yazikosoa nchi za Ulaya kwa kuondoa majeshi yao Sudan Kusini
Jul 21, 2016 01:12Umoja wa Mataifa umezikosoa nchi tatu za Ulaya kwa kuondoa askari wao katika nchi iliyotumbukia tena katika mapigano ya ndani ya Sudan Kusini.
-
Utulivu wa kiasi fulani warejea Sudan Kusini
Jul 20, 2016 11:40Duru za habari zimearifu kuwa hali ya utulivu wa kiasi fulani imerejea huko Sudan Kusini kufuatia uamuzi uliochukuliwa na Umoja wa Afrika wa kutuma wanajeshi wa kulinda amani nchini humo.
-
Rais wa Uganda apinga vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan Kusini
Jul 18, 2016 09:37Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepinga mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuiwekea Sudan Kusini vikwazo vya silaha na kusema hatua hiyo italidhoofisha jeshi la nchi hiyo ambalo linakabiliana machafuko mapya.
-
UNHCR: 70% ya wakimbizi wa Sudan Kusini ni watoto
Jul 18, 2016 00:13Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi wa la Umoja wa Mataifa limeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la wakimbizi wa Sudan Kusini na uhaba wa fedha za kuwahudumia wakimbizi hao; na kufichua kuwa asilimia 70 ya wakimbizi hao ni watoto wadogo.
-
IGAD yataka Sudan Kusini iwekewe vikwazo vya silaha
Jul 17, 2016 11:24Jumuiya ya Ushirikiano wa Kieneo ya Mashariki mwa Afrika IGAD imetoa mwito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini kwa shabaha ya kukomesha mapigano mapya yaliyozuka nchini humo hivi karibuni na kusababisha mauaji ya mamia ya watu.
-
FAO yatahadharisha kuhusu mgogoro wa kibinadamu Sudan Kusini
Jul 17, 2016 03:18Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) limetahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea mgogoro wa kibinadamu huko Sudan Kusini.
-
Jeshi la Uganda laanza kuondoa raia wake Sudan Kusini
Jul 14, 2016 11:23Msafara wa magari ya jeshi la Uganda umeingia Sudan Kusini na kuanza kuwaondoa maelfu ya raia wa nchi hiyo waliokwama mjini Juba kutokana na mapigano mapya yaliyoikumba nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Riek Machar aondoka Juba, nchi za Ulaya zawaondoa raia wao Sudan Kusini
Jul 13, 2016 10:52Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar ameondoka katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba pamoja na askari wanaomuunga mkono na kwenda kusikojulikana.