-
Chama tawala cha Baath chashinda viti vingi uchaguzi wa bunge Syria
Apr 17, 2016 10:48Chama tawala cha Baath kimeshinda aghalabu ya viti katika uchaguzi wa bunge uliofanyika nchini Syria hivi karibuni.
-
Syria yakataa mpango wa kuundwa serikali ya mpito
Apr 14, 2016 02:25Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad amesema serikali ya Damascus inapinga pendekezo la wapinzani la kuundwa serikali ya mpito nchini humo.
-
Wananchi wa Syria wajitokeza kushiriki uchaguzi wa Bunge
Apr 13, 2016 02:46Wananchi wa Syria waliotimiza mashari ya kupiga kura wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura mapema leo, kushiriki uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo.
-
Wakimbizi zaidi ya milioni moja warejea makwao nchini Syria
Apr 12, 2016 12:01Wakimbizi wa Syria zaidi ya milioni moja wamerejea majumbani mwao baada ya amani na utulivu kurejea katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
-
Operesheni za kuikomboa Halab Syria zinaendelea
Apr 10, 2016 10:41Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa, opereseheni za jeshi la nchi hiyo na vikosi vya wananchi dhidi ya magenge ya kigaidi, zingali zinaendelea.
-
Marekani imewakabidhi silaha magaidi Syria
Apr 09, 2016 22:35Tovuti moja ya habari imefichua kuwa Marekani hadi sasa imeshatoa msaada wa tani elfu tatu za silaha kwa magaidi wa Al Qaeda na washirika wao nchini Syria.
-
Mjumbe wa UN kuitembelea Tehran kuhusu mgogoro wa Syria
Apr 08, 2016 03:47Staffan de Mistura mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria anatazamiwa kuitembelea Iran karibuni hivi.
-
Daesh yaua makumi kwa gesi ya sumu huko Sheikh Maqsood
Apr 08, 2016 00:16Watu wasiopungua 23 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulio la silaha za kemikali lililofanywa na magaidi wa kundi la Daesh dhidi ya wapiganaji a Kikurdi wa People's Protection Units (YPG) karibu na mji wa Aleppo nchini Syria.
-
Kerry aiomba Iran isaidie kuhatimisha vita Syria na Yemen
Apr 07, 2016 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry, ameomba msaada wa Iran ili kuhatimisha vita katika nchi za Syria na Yemen.
-
Daesh watumia silaha za kemikali dhidi ya uwanja wa ndege Syria
Apr 05, 2016 02:57Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi mashariki mwa Syia, kwa silaha za kemikali.