Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania azindua mahakama inayotembea

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania azindua mahakama inayotembea

    Feb 06, 2019 09:12

    Rais John Magufuli wa Tanzania amezindua gari maalumu la mahakama inayotembea litakalosaidia kusikiliza kesi katika mikoa ya Mwanza na Dar es Salaam.

  • Taharuki yaibuka mkoani Njombe, Tanzania kutokana na vitendo vya utekaji nyara na mauaji dhidi ya watoto wadogo

    Taharuki yaibuka mkoani Njombe, Tanzania kutokana na vitendo vya utekaji nyara na mauaji dhidi ya watoto wadogo

    Feb 04, 2019 10:46

    Hali ya taharuki imeendelea kushuhudiwa mkoani Njombe, Tanzania kutokana na vitendo vya utekaji nyara na mauaji dhidi ya watoto wadogo. Vitendo hivyo vimeendelea kushuhudiwa huku serikali ya Tanzania sambamba na kufanya juhudi kubwa zenye lengo la kuzuia jinai hizo, ikitakiwa pia kutoa kauli rasmi itakayoleta utulivu katika eneo hilo.

  • Wazazi Njombe Tanzania walazimika kuacha kazi na kusindikiza watoto shuleni wasiuawe + Sauti

    Wazazi Njombe Tanzania walazimika kuacha kazi na kusindikiza watoto shuleni wasiuawe + Sauti

    Feb 03, 2019 14:33

    Wazazi mkoani Njombe nchini Tanzania wameongeza uangalifu kwa watoto wao na wengine wanaacha shughuli zao ili kusindikiza watoto wao shuleni. Hii ni kutokana na wimbi la mauaji ya watoto hao mkoani humo. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Mkutano wa wakuu wa EAC hatimaye wafanyika Arusha, Tanzania

    Mkutano wa wakuu wa EAC hatimaye wafanyika Arusha, Tanzania

    Feb 01, 2019 10:24

    Marais wanne kati ya sita wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, wamewasili Arusha Tanzania, kushiriki mkutano wa wakuu wa jumuiya hiyo ya kikanda ambao mwaka jana ulifutwa mara mbili ndani ya muda wa wiki tatu.

  • Tanzania kuchunguza uchinjaji wa watoto 10 Njombe

    Tanzania kuchunguza uchinjaji wa watoto 10 Njombe

    Jan 29, 2019 10:25

    Serikali ya Tanzania imesema itachunguza tukio la kusikitisha la watoto 10 kupoteza maisha baada ya kuchinjwa katika eneo la Njombe.

  • Viongozi wa dini Tanzania: Kubeti ni kamari, ni haramu! + Sauti

    Viongozi wa dini Tanzania: Kubeti ni kamari, ni haramu! + Sauti

    Jan 27, 2019 14:50

    Viongozi wa kidini na wa kiserikali nchini Tanzania wamekemea vitendo vya kubeti na kucheza kamari ambavyo vimekithiri nchini humo hali ambayo inapelekea kuzalika vijana wasiofanya kazi wakiweka matumaini zaidi ya kupata kipato chao kupitia njia hizo. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania.

  • Burundi: Kuna njama za kuvuruga uhusiano wetu na Tanzania + Sauti

    Burundi: Kuna njama za kuvuruga uhusiano wetu na Tanzania + Sauti

    Jan 21, 2019 14:51

    Mashirika ya Capes na Pisc ya nchini Burundi yamesema kuwa, kugunduliwa sare za jeshi la Tanzania katika kambi ya wakimbizi huko Burundi kunadhihirisha kuwepo njama za kutaka kuvuruga uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.

  • CAG Tanzania ahojiwa na kamati ya bunge, huku Mahakama Kuu ikipokea kesi ya kupinga kuhojiwa kwake

    CAG Tanzania ahojiwa na kamati ya bunge, huku Mahakama Kuu ikipokea kesi ya kupinga kuhojiwa kwake

    Jan 21, 2019 13:03

    Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemuhoji Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kuhusu kauli yake ya “udhaifu wa Bunge la nchi hiyo.”

  • SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, Waislamu Tanzania walaani hatua ya kuvunjwa msikiti wa Chuo Kikuu Dodoma/ Waislamu Kenya walaani ugaidi

    SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, Waislamu Tanzania walaani hatua ya kuvunjwa msikiti wa Chuo Kikuu Dodoma/ Waislamu Kenya walaani ugaidi

    Jan 18, 2019 13:12

    Wanaharakati na watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania wamelaani vikali kitendo cha Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Dodoma, Petter Msoffe kusimamisha ujenzi wa msikiti chuoni hapo na kukitaja kitendo hicho kuwa kinakiuka haki ya binaadamu na uhuru wa kuabudu.

  • Rais Magufuli: Ni vigumu changamoto zilizosalia nchini Tanzania kupata wa kuzitatua baada yangu

    Rais Magufuli: Ni vigumu changamoto zilizosalia nchini Tanzania kupata wa kuzitatua baada yangu

    Jan 18, 2019 12:42

    Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, kama kuna changamoto ambazo bado hazijafanyiwa kazi katika uongozi wake, basi hana uhakika iwapo kiongozi atakayekuja baada yake atakuwa na uwezo wa kuzitatua.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS