-
Zarif: Muqawama umesambaratisha njama za magaidi Lebanon
Nov 08, 2016 04:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema harakati za kimuqawama ndizo zimesambaratisha njama za maadui na magaidi nchini Lebanon.
-
Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika
Nov 08, 2016 03:48Gazeti la Washington Post la Marekani limeandika makala kuhusu kuenea Uwahhabi nchini Nigeria na kuongeza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unaaunga mkono viongozi wa Mawahhabi ili waweze kueneza Uwahhabi nchini humo na kote barani Afrika.
-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi Samarra na Tikrit Iraq
Nov 07, 2016 00:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyopelekea watu wasiopungua 21 kuuawa katika miji ya Samarra na Tikrit nchini Iraq jana Jumapili.
-
Iran: Wananchi wamevunja njama zote za maadui
Nov 05, 2016 23:13Waziri wa Usalama wa Taifa wa Iran amesema kuwa, kushiriki vilivyo wananchi katika nyuga tofauti kumefanikiwa kuvunja njama zote za maadui.
-
Wamarekani wahofia kutokea mashambulizi ya kigaidi wakati wa uchaguzi
Nov 05, 2016 11:38Viongozi wa serikali ya Marekani wameonya juu ya uwezekano wa kutokea mashambulizi ya kigaidi siku ya uchaguzi wa rais na kuwataka wananchi wajiandae kwa hilo.
-
Rais Rouhani asisitiza umoja kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Nov 05, 2016 04:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuimarishwa umoja na mshikamano kwa ajili ya kuimarisha usalama na amani ya Mashariki ya Kati.
-
Rais wa Ghana atoa wito wa kuweko vita vya kweli dhidi ya ugaidi
Oct 31, 2016 11:18Rais wa Ghana amesisitiza juu ya kuchukuliwa hatua za maana na zenye mipango madhubuti kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi wa kimataifa.
-
Watu 10 wauawa kaskazini mwa Misri
Oct 30, 2016 12:07Watu 10 wameuawa katika mapigano baina ya jeshi la Misri na watu wenye silaha katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Al-Shabaab yafanya tena ukatili Kenya, yaua 12 Mandera
Oct 25, 2016 04:10Watu 12 wameuawa na wengine wengi kuachwa na majeraha ya risasi baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia hoteli moja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa nchi, usiku wa jana.
-
Magaidi washambulia chuo cha polisi na kuua 55 nchini Pakistan
Oct 25, 2016 01:08Makumi ya makurutu wameuawa baada ya genge la kigaidi kushambulia chuo cha kutoa mafunzo ya polisi kusini magharibi mwa Pakistan.