Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugonjwa

  • WHO: Watu Milioni 50 wanaugua ugonjwa wa kusahau duniani

    WHO: Watu Milioni 50 wanaugua ugonjwa wa kusahau duniani

    May 15, 2019 03:41

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema watu takriban milioni 50 kote ulimwenguni wanaugua ugonjwa wa kusahau (Dementia) huku idadi hii ikitabiriwa kuongezeka mara tatu ifikapo mwaka 2050.

  • Zaidi ya watu 1000 wamekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini Msumbiji

    Zaidi ya watu 1000 wamekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini Msumbiji

    Apr 02, 2019 13:50

    Viongozi wa idara ya Msumbiji wametangaza kwamba zaidi ya watu 1000 wameambukizwa maradhi ya kipindupindu nchini humo.

  • Makumi ya Wayemeni waaga dunia kwa ugonjwa wa dondakoo (Diptheria)

    Makumi ya Wayemeni waaga dunia kwa ugonjwa wa dondakoo (Diptheria)

    Oct 21, 2018 23:21

    Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza kuwa tangu mwaka mmoja uliopita hadi sasa watu 141 wameaga dunia kwa ugonjwa wa dondakoo; wengi wakiwa ni watoto wadogo.

  • Seneta Bernie Sanders: Trump ana maradhi ya kusema uongo

    Seneta Bernie Sanders: Trump ana maradhi ya kusema uongo

    Aug 06, 2018 13:05

    Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani, Bernie Sanders amemkosoa vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwamba, anawahadaa wapiga kura kwa kuwaambia uongo.

  • Nchi za kusini mwa Afrika kushirikiana kupambana na Listeria

    Nchi za kusini mwa Afrika kushirikiana kupambana na Listeria

    Mar 16, 2018 07:23

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) zimekubaliana kushirikiana kupambana na ugonjwa wa listeriosis ulioibuka nchini Afrika Kusini.

  • Homa ya mafua imeshaua watu 231 nchini Uingereza

    Homa ya mafua imeshaua watu 231 nchini Uingereza

    Feb 02, 2018 08:00

    Gazeti la Daily Mail linalochapishwa nchini Uingereza limeripoti kuwa watu 231 wamefariki dunia nchini humo kutokana na maambukizi ya kirusi cha homa ya mafua.

  • WHO yaonya kuwa usugu wa viuavijasumu (antibiotics) ni tishio duniani

    WHO yaonya kuwa usugu wa viuavijasumu (antibiotics) ni tishio duniani

    Jan 30, 2018 08:01

    Takwimu zilizotolewa na Shirika la Afya Duniani WHO kuhusu usugu wa viuavijasumu au antibiotics zinaonyesha kuwa juu sana kiwango cha usugu wa dawa hizo dhidi ya maradhi kadhaa yanayosababishwa na bakteria kote duniani.

  • Muirani avumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (MS)

    Muirani avumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (MS)

    Dec 19, 2017 13:42

    Mwanabiolojia Muirani, kwa mara ya kwanza duniani, amevumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (Multiple Sclerosis) maarufu kama MS.

  • Watoto wa Yemen zaidi ya elfu 50 watapoteza maisha hadi mwishoni mwa mwaka huu wa 2017

    Watoto wa Yemen zaidi ya elfu 50 watapoteza maisha hadi mwishoni mwa mwaka huu wa 2017

    Nov 15, 2017 15:28

    Kundi Moja la Kimataifa la Utoaji Misaada limetahadharisha kuwa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu idadi ya watoto wataoaga dunia kwa magonjwa na njaa vilivyosababishwa na vita huko Yemen watafikia zaidi ya elfu 50.

  • UN: Kipindupindu kimeua zaidi ya watu 530 Somalia

    UN: Kipindupindu kimeua zaidi ya watu 530 Somalia

    Apr 14, 2017 03:56

    Umoja wa Mataifa na jumuiya za misaada ya kibinadamu zimeonya kwamba kipindupindu kinaenea kwa kasi katika maeneo yaliyoathirika na ukame nchini Somalia wakati nchi hiyo ikiendelea kunyemelewa na hatari kubwa ya baa la njaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS