Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Wahajiri elfu 6 waokolewa katika bahari ya Mediterania ndani ya masaa 48

    Wahajiri elfu 6 waokolewa katika bahari ya Mediterania ndani ya masaa 48

    May 07, 2017 03:08

    Gadi ya Pwani ya Italia imesema wahajiri elfu 6 wameokolewa katika kipindi cha siku mbili zilizopita katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya.

  • Iran: Katika matukio ya sasa Marekani iko katika nafasi dhaifu

    Iran: Katika matukio ya sasa Marekani iko katika nafasi dhaifu

    Apr 22, 2017 11:51

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Shamkhani amesema kuwa matukio ya sasa yameifanya Marekani kuwa katika nafasi dhaifu kwa kuwa hii leo nchi za Ulaya hazina tena mapenzi ya kushirikiana na Washington.

  • Wahajiri elfu tatu waokolewa katika pwani ya Libya

    Wahajiri elfu tatu waokolewa katika pwani ya Libya

    Apr 16, 2017 02:48

    Maelfu ya wahajiri wamenusurika kufa maji baada ya boti zao kuzama katika bahari ya Mediterania, wakiwa katika juhudi za kuelekea barani Ulaya.

  • Ulaya yaongoza kwa mitandao ya picha za kubakwa watoto

    Ulaya yaongoza kwa mitandao ya picha za kubakwa watoto

    Apr 04, 2017 03:07

    Uchunguzi uliofanyika nchini Uingereza umebaini kuwa, bara la Ulaya limechukua nafasi ya nchi za America ya Kaskazini kama kituo kikuu cha kueneza picha na video za kubakwa na kunajisiwa watoto wadogo.

  • Vyama vya mrengo wa kulia Ulaya na tatizo la kuwakubali wakimbizi

    Vyama vya mrengo wa kulia Ulaya na tatizo la kuwakubali wakimbizi

    Mar 31, 2017 10:47

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani katika mkutano na viongozi wa vyama vya mrengo wa kulia barani Ulaya amekiri kuwa bara hilo halijasimamia ipasavyo suala la wakimbizi na wahamiaji.

  • Wahajiri wengine 146 wahofiwa kufa maji wakielekea Ulaya

    Wahajiri wengine 146 wahofiwa kufa maji wakielekea Ulaya

    Mar 29, 2017 22:01

    Makumi ya wahajiri wanaaminika kuwa wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterania.

  • NATO yakiri, usalama wa Ulaya uko mashakamani

    NATO yakiri, usalama wa Ulaya uko mashakamani

    Mar 24, 2017 21:54

    Kamanda wa majeshi ya NATO barani Ulaya, Jenerali Curtis Scaparrotti amekiri kuwa bara hilo sasa limekuwa miongoni mwa maeneo hatari zaidi duniani.

  • Hukumu ya mahakama ya Ulaya dhidi ya vazi la hijabu

    Hukumu ya mahakama ya Ulaya dhidi ya vazi la hijabu

    Mar 15, 2017 03:27

    Mahakama ya Haki ya Ulaya (ECJ) yenye makao yake huko Luxembourg jana Jumanne ilipasisha marufuku ya vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu.

  • Mgomo wafuta mamia ya safari za ndege barani Ulaya

    Mgomo wafuta mamia ya safari za ndege barani Ulaya

    Mar 06, 2017 11:10

    Mgomo wa wafanyakazi katika viwanja vya ndege na mashirika ya ndege barani Ulaya umepelekea kufutwa mamia ya safari barani humo, hatua ambayo imesababisha usumbufu mkubwa kwa wasafiri.

  • Zarif: Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya

    Zarif: Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya

    Feb 21, 2017 04:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS