-
Maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wahajiri yafanyika Uhispania
Feb 19, 2017 04:10Katika hali ambayo Rais Donald Trump wa Marekani anatazamiwa wiki ijayo kutangaza 'sheria kali zaidi' za kudhibiti wahajiri na raia wa nchi saba za Kiislamu, mamia ya maelfu ya wananchi wamefanya maandamano Uhispania kuonyesha uungaji mkono wao kwa wajahiri.
-
Kupinga Libya suala la kupatiwa makazi wahajiri katika ardhi ya nchi hiyo
Feb 07, 2017 09:37Katika hali ambayo, Libya ingali inakabiliwa na changamoto kubwa za kisiasa na kiuchumi, suala la wahajiri wanaoelekea Ulaya kupitia nchi hiyo nalo limegeuka na kuwa tatizo jingine kubwa kwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Jumuiya ya Wanachuo Ulaya
Jan 20, 2017 04:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa jumuiya za Kiislamu za wanafunzi wa vyuo vikuu barani Ulaya na kusema: "Ni jukumu la kila mtu kupeperusha bendera ya Uislamu halisi katika vita visivyo na usawa vya makabiliano na mrengo wa kufru na uistikbari."
-
UNICEF: Maelfu ya watoto wakimbizi Waafrika wameingia Ulaya
Jan 14, 2017 03:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema watoto wapatao 25,800 waliwasili nchini Italia mwaka 2016 wakiwa peke yao kwa lengo la kusaka hifadhi barani Ulaya.
-
UN: Wajiri elfu tano wamekufa maji wakieleka Ulaya mwaka huu 2016
Dec 23, 2016 12:53Shirika la Kimataifa la Uhajiri (IOM) limesema wakimbizi na wahajiri wapatao 5,000 wamepoteza maisha mwaka huu wa 2016 wakijaribu kuingia barani Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.
-
Kuzidi kunyanyaswa wakimbizi barani Ulaya na Marekani
Dec 19, 2016 07:44Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya wageni na wakimbizi vimeshika kasi katika nchi za Ulaya na Marekani kufuatia nchi hizo kuweka sheria kali za kuwadhibiti wahamiaji na wakimbizi wanaokimbilia nchi hizo.
-
Wahajiri zaidi ya 200 waokolewa katika bahari ya Mediterania
Dec 03, 2016 23:46Wahajiri zaidi ya 200 wamenusurika kufa maji baada ya kuokolewa katika bahari ya Mediterania.
-
Wahajiri 1,400 waokolewa Bahari ya Mediterranea wakielekea Ulaya
Nov 23, 2016 04:42Wahajiri 1,400 aghalabu kutoka kaskazini mwa Afrika, wameokolewa baada ya boti zao kuzama katika Bahari ya Mediterranea wakielekea barani Ulaya.
-
Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya
Nov 18, 2016 04:12Makumi ya wahajiri wamefariki dunia na wengine wengi kutoweka baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterenia wakielekea barani Ulaya jana Alkhamisi.
-
Ujerumani kuwakamata wahamiaji baharini na kuwarejesha Afrika
Nov 06, 2016 10:53Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imetoa pendekezo la kuwakamata wahamiaji Waafrika katika Bahari ya Mediterranean na kuwarejesha Afrika kabla hawajafika Ulaya.