-
UN: Wakenya 42,000 walikuwa wakimbizi 'bandia' Dadaab
Jul 27, 2016 03:24Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa, Wakenya 42,000 wamekuwa wakijifanya wakimbizi katika kambi ya Dadaab kwa shabaha ya kufaidika na misaada ya kibinadamu.
-
UN: Mzunguko wa pesa haramu watishia uchumi wa Afrika
Jul 26, 2016 22:12Kamisheni ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA) imetahadharisha kuwa, mzunguko wa pesa haramu katika akthari ya nchi za Afrika unatishia ukuaji wa uchumi wa bara hilo.
-
Radiamali ya UN kwa vitendo vya kichokozi na kujitanua vya Israel
Jul 26, 2016 03:23Umoja wa Mataifa na viongozi wa Palestina wamelaani vikali mipango ya Israel ya kupanua ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Radiamali ya Umoja wa Mataifa kwa shambulizi la Munich, Ujerumani
Jul 23, 2016 02:27Umoja wa Mataifa umelaani shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea katika jumba la biashara katika mji wa Munich nchini Ujerumani.
-
UN yazikosoa nchi za Ulaya kwa kuondoa majeshi yao Sudan Kusini
Jul 21, 2016 01:12Umoja wa Mataifa umezikosoa nchi tatu za Ulaya kwa kuondoa askari wao katika nchi iliyotumbukia tena katika mapigano ya ndani ya Sudan Kusini.
-
MONUSCO: Uganda na Congo zishirikiane kuwamaliza waasi
Jul 19, 2016 03:10Ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO) umetoa wito wa kufanyika mashambulizi ya pamoja ya nchi za Uganda na Congo dhidi ya waasi The Allied Democratic Forces (ADF) wanaodhaniwa kufanya mauaji ya raia huko mashariki mwa Congo.
-
Marekani yakiri, Iran imetekeleza JCPOA
Jul 19, 2016 03:09Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amekiri kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi sasa imetekeleza vipengee vyote vya makubaliano ya nyuklia maaufu kwa kifupi JCPOA.
-
Mustafa Ali: UN inabeba dhima ya masaibu yanayowapata watoto Yemen
Jul 18, 2016 09:47Mkuu wa Jumuiya ya Watoto nchini Yemen amesema kuwa, Umoja wa Mataifa, Baraza la Usalama la umoja huo na asasi za kimataifa zinabeba dhima ya hali mbaya ya kibinadamu nchini Yemen hususan masaibu yanayowapata watoto wa nchi hiyo.
-
Mkutano wa UNCTAD wafunguliwa Nairobi, Kenya
Jul 18, 2016 00:33Mkutano wa 14 Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo (UNCTAD) uliofunguliwa jana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya mjini Nairobi umeanza kwa kutolewa wito wa kuwepo ushirikiano zaidi kati ya nchi za dunia.
-
Wapalestina washiriki mkutano wa ustawi wa biashara wa mjini Nairobi
Jul 17, 2016 11:23Duru za Palestina zimetangaza kuwa, ujumbe wa kiuchumi wa Wapalestina unashiriki katika Mkutano wa 14 wa Biashara na Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCTAD) unaofanyika mjini Nairobi Kenya.