-
Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini
Jun 21, 2016 23:34Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka wakimbizi duniani
Jun 21, 2016 11:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limetoa ripoti mpya sambamba na kuadhimishwa Siku ya Wakimbizi Duniani na kutangaza kuwa hadi mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2015 idadi ya wakimbizi ilikuwa zaidi ya watu milioni 65.
-
Dunia yaendelea kuikosoa Bahrain kwa kumvua uraia Sh. Isa Qassim
Jun 21, 2016 10:28Hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim, imeendelea kulaaniwa na asasi mbalimbali duniani, shakhsia mashuhuri na jamii ya kimataifa kwa ujumla.
-
UN: Watu milioni 65 wamelazimika kuwa wakimbizi duniani
Jun 20, 2016 03:38Idadi ya wakimbizi duniani imeendelea kuvunja rekodi na kutia wasi wasi, ambapo watu milioni 65.3 wamelazimika kuwa wakimbizi katika kona mbali mbali za dunia kufikia mwishoni mwa mwaka jana 2015.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC
Jun 18, 2016 03:37Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, yumkini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikatumbukia katika wimbi la ghasia za uchaguzi kama Burundi.
-
Mapigano kati ya jeshi la Kongo na wanamgambo mashariki mwa nchi
Jun 17, 2016 10:24Duru za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kuhusu kujiri mapigano kati ya askari jeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya makundi yenye silaha mashariki mwa nchi.
-
Vijana: Wanasiasa ndio chanzo cha mizozo na matatizo Afrika
Jun 17, 2016 00:14Idadi kubwa ya vijana barani Afrika wanahisi kuwa chimbuko la matatizo, mikwaruzano na migogoro katika nchi za bara hilo imetokana na wanasiasa wenye uchu wa madaraka na ubinafsi.
-
Viongozi wa Somalia wakasirishwa na misaada ya chakula ya UN ya nafaka zilizooza
Jun 17, 2016 00:14Viongozi wa Somalia wamekasirika kwa kutumwa nchini humo misaada ya chakula ya Umoja wa Mataifa ya nafaka zilizooza kwa ajili ya raia wa nchi hiyo.
-
UN yatiwa wasiwasi na mapigano ya mpakani kati ya Ethiopia na Eritrea
Jun 16, 2016 02:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema anatiwa wasiwasi na mapigano ya mpakani kati ya Ethiopia na Eritrea.
-
UN yakosoa kuzuiliwa wakimbizi katika nchi za Ulaya
Jun 13, 2016 11:05Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi kuhusu habari za kuzuiliwa wakimbizi wakiwemo watoto wadodo katika mazingira ya kutisha barani Ulaya.