-
UN: Watoto milioni 7 wapo kizuizini, Marekani yaongoza
Nov 20, 2019 04:09Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa, watoto zaidi ya milioni saba wanashikiliwa katika jela na vituo mbalimbali duniani, huku Marekani ikiongoza katika orodha hiyo.
-
Zarif: EU haijachukua hatua yoyote ya maana ya kulinda JCPOA
Nov 12, 2019 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa kuakhirisha ahadi zao na kufeli kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA, huku zikiitaka Tehran ifungamane kikamilifu na makubaliano hayo.
-
UN yakaribisha kuongezwa muda wa kipindi cha mpito Sudan Kusini
Nov 12, 2019 04:31Umoja wa Mataifa umekaribisha uamuzi wa Shirika la Kiserikali la Ustawi wa nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) wa kurefusha kwa siku 100 kipindi cha mpito nchini Sudan Kusini.
-
Gambia yafungua faili la mauaji ya Warohingya katika mahakama ya ICJ
Nov 11, 2019 08:05Gambia imewasilisha faili la kesi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Warohingya katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
-
Pande zote nchini Yemen zatakiwa kuheshimu makubaliano ya Stockholm
Nov 10, 2019 08:44Mkuu wa Timu ya Wasimamizi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amesisitizia udharura wa pande zote nchini Yemen kuheshimu makubaliano ya Stockholm, Sweden.
-
UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha
Nov 10, 2019 04:01Rasimu ya ripoti ya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sudan na Jordan zimekiuka vikwazo vya silaha vya umoja huo kwa kulipa silaha kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.
-
Imarati yatuhumiwa kuhusika na shambulizi la anga lililoua wahajiri 53 Libya
Nov 06, 2019 21:43Nyaraka za siri za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa, ndege ya kivita ya nchi ajinabi ndiyo iliyotekeleza shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli na kuua makumi miongoni mwao.
-
Mjumbe wa UN apongeza misimamo ya Hamas kuhusu uchaguzi
Nov 05, 2019 11:00Mratibu Maalumu wa Amani wa Umoja wa Mataifa katika kanda ya Mashariki ya Kati amepongeza misimamo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kuhusu suala la kuitishwa uchaguzi mkuu huko Palestina.
-
UN: Rasimu ya katiba mpya ya Syria kuanza kuandikwa Jumatatu
Nov 03, 2019 04:27Umoja wa Mataifa umesema Kamati ya Katiba ya Syria itaanza kuandika rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo ya Kiarabu kesho Jumatatu.
-
UN: Majiji yanatumia thuluthi mbili ya nishati yote duniani
Oct 31, 2019 21:47Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema thuluthi mbili ya nishati yote duniani inatumika katika majiji, na hivyo kuzalisha asilimia 70 ya gesi hatari ya carbon dioxide.