-
Rais wa Uturuki yuko Tanzania, asaini mikataba kadhaa ya maelewano
Jan 24, 2017 04:07Rais wa Uturuki yuko nchini Tanzania katika ziara rasmi ya kiserikali inayopania kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja tofauti.
-
Malengo ya Uturuki ya kuendelea kukiuka haki ya kujitawala Iraq
Jan 16, 2017 00:22Licha ya malalamiko ya kila mara na mashitaka ya serikali ya Iraq katika asasi za kieneo na kimataifa, bado Uturuki imekataa kuondoa askari wake kutoka kambi ya kijeshi ya Bashiqa.
-
Uturuki yaendelea kuwaandama wafuasi wa Fethullah Gülen, sasa kuwatia mbaroni mamia yao
Jan 06, 2017 01:19Mwanasheria Mkuu nchini Uturuki ametoa kibali cha kutiwa mbaroni wafanyabiashara 380 kwa tuhuma za kuwa na mahusiano na Fethullah Gülen, kiongozi wa kidini na mpinzani dhidi ya serikali.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi Uturuki, idadi ya waliouawa yaongezeka
Jan 01, 2017 04:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Istanbul nchini Uturuki.
-
Syria: Hatuna imani na watawala wa Uturuki
Jan 01, 2017 03:01Ali Abdul Karim Ali, balozi wa Syria nchini Lebanon amesema, Damascus haina imani na watawala wa hivi sasa wa Uturuki kwani Ankara ndiyo nguzo kuu ya uungaji mkono wa kifedha na kifikra kwa ugaidi ulioenea leo hii kwenye eneo hili.
-
70 wauawa, kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Instabul, Uturuki
Jan 01, 2017 01:08Makumi ya watu wanaripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika klabu moja ya anasa mjini Instabul nchini Uturuki.
-
Ndege za kivita za Uturuki zauwa raia kaskazini mwa Syria
Dec 23, 2016 03:18Makumi ya raia wameuliwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki kaskazini mwa Syria.
-
Iran, UN zalaani mauaji ya balozi wa Russia nchini Uturuki
Dec 20, 2016 04:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya balozi wa Russia nchini Uturuki na kuutaja ukatili huo kama kitendo cha kikatili na kishenzi.
-
Uturuki yateua balozi wake wa utawala haramu wa Israel
Nov 17, 2016 00:54Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuwa Ankara imemteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo katika utawala haramu wa Israel, miezi michache baada ya pande mbili hizo kutangaza kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia.
-
Erdogan: EU inafanya njama ya kutoijumuisha Uturuki katika umoja huo
Nov 13, 2016 12:44Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Umoja wa Ulaya unafanya njama ya kuishinikiza nchi yake iachane na mchakato wa kujiunga na umoja huo.