-
Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi
Jul 18, 2016 09:30Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi na kuongeza kuwa kile kinachodaiwa kuwa ni 'Ugaidi wa Kiislamu' ni fikra ya Wamagharibi ambao wanaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya wakufurishaji.
-
Assad: Huenda Erdogan atatumia 'mapinduzi' kuwaondoa maadui serikalini
Jul 18, 2016 03:05Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema huenda Rais Reccep Teyyip Erdogan wa Uturuki akatumia jaribio la mapinduzi yaliyofeli kuwaadhibu na kuwaondoa serikalini wakosoaji na wapinzani wake.
-
Hatima ya TV za Ikhwanul Muslimin nchini Uturuki haijulikani
Jul 16, 2016 23:37Vyombo vya habari vya Misri vimetangaza kuwa, hatima ya televisheni za kundi la Ikhwanul Muslimin zilizokuwa zinarusha matangazo yake nchini Uturuki, haijulikani.
-
Jaribio la Mapinduzi ya Kijeshi Uturuki, Rais Erdogan Aapa kuwaadhibu wahusika
Jul 15, 2016 23:23Kumejiri jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Uturuki Ijumaa usiku huku watu 42 wakiripotiwa kupoteza maisha katika mji mkuu Ankara na Rais ReccepTayyib Erdogan akisema jaribio hilo limeshindwa.
-
Jesi la Uturuki lasema limechukua madaraka ya nchi ili kulinda demokrasia
Jul 15, 2016 17:21Jeshi la Uturuki limesema kuwa, limechukua madaraka ya nchi hiyo na kuiondoa madarakani serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan na kwamba litalinda utawala wa sheria nchini humo.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi Istanbul, Uturuki
Jun 29, 2016 23:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya uwanja wa ndege mjini Istambul nchini Uturuki, yaliyosababisha vifo vya makumi ya watu na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya kigaidi huko Istanbul Uturuki
Jun 29, 2016 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye uwanja wa ndege wa Istanbul Uturuki.
-
Wapaestina wakasirishwa na kufufuliwa uhusiano wa Israel na Uturuki
Jun 28, 2016 02:49Wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wameghadhabishwa na hatua ya Uturuki kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo, baada ya kuukatiza zaidi ya miaka mitano iliyopita.
-
Russia: Tupo tayari kufanya mazungumzo na Uturuki
Jun 23, 2016 22:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema kuwa Moscow ipo tayari kufanya mazungumzo na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki.
-
Muhammad Ali kuzikwa leo, rais wa Uturuki na mfalme wa Jordan kutohutubia
Jun 09, 2016 23:33Nguli wa masumbwi duniani marehemu Muhammad Ali anatazamiwa kuzikwa leo Ijumaa katika mji wa Louisville jimbo la Kentucky nchini Marekani.