Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • 11 Wauawa katika mlipuko wa bomu Istanbul

    11 Wauawa katika mlipuko wa bomu Istanbul

    Jun 07, 2016 09:50

    Mji wa Istanbul nchini Uturuki umekumbwa na mlipuko wa bomu ambapo watu 11 wameripotiwa kupoteza maisha na wengine 36 kujeruhiwa.

  • Uturuki kufungua kituo cha kijeshi nchini Somalia

    Uturuki kufungua kituo cha kijeshi nchini Somalia

    Jun 04, 2016 00:02

    Serikali ya Uturuki imefungua ubalozi mpya nchini Somalia na kuahidi kufungua kituo cha kutoa mafunzo ya kijeshi katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika karibuni hivi.

  • Kenya na Uturuki zakubaliana kushirikiana katika kubadilishana taarifa za usalama

    Kenya na Uturuki zakubaliana kushirikiana katika kubadilishana taarifa za usalama

    Jun 03, 2016 02:53

    Marais wa Kenya na Uturuki wamekubaliana nchi zao mbili kushirikiana katika kubadilishana taarifa za usalama na za kiintelijinsia kwa lengo la kuzima uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi.

  • Russia: Njia pekee kwa Uturuki ni kuomba radhi

    Russia: Njia pekee kwa Uturuki ni kuomba radhi

    May 30, 2016 11:00

    Msemaji wa Rais wa Russia amesema kuwa kuomba radhi ndio njia pekee iliyonayo Uturuki.

  • Waziri Mkuu mpya Uturuki aahidi kuongezewa mamlaka rais

    Waziri Mkuu mpya Uturuki aahidi kuongezewa mamlaka rais

    May 22, 2016 11:50

    Binali Yildirim, Waziri wa Uchukuzi wa Uturuki ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa chama tawala AKP sambamba na kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi ya Ahmet Davutoğlu.

  • Magaidi kadhaa wa Daesh watibiwa nchini Uturuki

    Magaidi kadhaa wa Daesh watibiwa nchini Uturuki

    May 14, 2016 23:22

    Baadhi ya wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh hivi karibuni wamepatiwa matibabu kwa siri katika hospitali moja ya mji wa Gaziantep nchini Uturuki, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Syria.

  • Waziri Mkuu wa Uturuki athibitisha kuacha uongozi wa chama tawala

    Waziri Mkuu wa Uturuki athibitisha kuacha uongozi wa chama tawala

    May 06, 2016 03:31

    Waziri Mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoğlu, ametangaza rasmi kuwa ataacha uongozi wa chama tawala cha Uadilifu na Ustawi (AKP) na hivyo kulazimika pia kuachia madaraka ya Uwaziri Mkuu.

  • Mtazamo wa Rais Rouhani kuhusu jukumu la Iran na Uturuki katika usalama wa kieneo

    Mtazamo wa Rais Rouhani kuhusu jukumu la Iran na Uturuki katika usalama wa kieneo

    Apr 17, 2016 03:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika kikao cha pamoja cha waandishi habari na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Ankara na kusema kuleta uthabiti na usalama katika eneo ni jukumu la kisheria la nchi hizi mbili.

  • Rouhani asema ugaidi, Uzayuni ni tishio kwa Waislamu duniani

    Rouhani asema ugaidi, Uzayuni ni tishio kwa Waislamu duniani

    Apr 16, 2016 23:38

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ugaidi na Uzayuni ni tishio kubwa zaidi kwa ulimwengu wa Kiislamu.

  • Rais wa Iran kushiriki kongamano la OIC mjini Istanbul, Uturuki

    Rais wa Iran kushiriki kongamano la OIC mjini Istanbul, Uturuki

    Apr 13, 2016 03:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hii leo anatazamiwa kuelekea mjini Istanbul nchini Uturuki kushiriki Kongamano la 13 la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS