-
Mzee Tshisekedi, kinara wa upinzani Kongo DR aaga dunia
Feb 02, 2017 02:31Kiongozi mkongwe wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mzee Etienne Tshisekedi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 usiku wa kuamkia leo nchini Ubelgiji.
-
Kuweko maridhiano ya kitaifa Burundi; lengo la mkutano wa wapinzani nchini Ubegiji
Jan 24, 2017 23:27Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Burundi, wapinzani wa serikali ya Bujumbura wamefanya kikao nchini Ubegiji kilichokuwa na lengo la kuandaa mikakati ya pamoja dhidi ya serikali ya Bujumbura.
-
Iran yalaani mauaji ya wanaharakati Bahrain, upinzani waitisha maandamano nchi nzima
Jan 16, 2017 00:22Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.
-
Adama Barrow asema yuko tayari kufanya mazungumzo na Jammeh
Jan 13, 2017 04:37Mshindi wa uchaguzi wa Rais nchini Gambia, Adama Barrow amesema yuko tayari kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rais Yahya Jammeh, ambaye alipinga matokeo hayo.
-
Dakta Shein amjibu Maalim Seif, asema madai yake ni ya kipropaganda
Jan 10, 2017 04:48Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohamed Shein amewataka wananchi visiwani humo kuacha kusikiliza kile alichokitaja kuwa maneno ya propaganda kutoka kwa wapinzani kwa kuwa katu hakuna Rais mwingine atakayeongoza Zanzibar wakati yeye yupo madarakani.
-
Besigye atoa masharti ya kufanya mazungumzo na Rais Museveni
Jan 04, 2017 04:00Kinara wa upinzani nchini Uganda ametoa masharti matano kwa serikali ya Rais Yoweri Museveni iwapo inataka kufanya mazungumzo ya kitaifa kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Chama kikuu cha upinzani Msumbiji charefusha muda wa usitishwaji vita
Jan 03, 2017 10:51Chama kikuu cha upinzani nchini Msumbiji kimetangaza kurefusha muda wa usitishaji vita kati yake na serikali kwa muda wa miezi miwili, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya amani.
-
Hatimaye Kongo DR yafikia muafaka wa kisiasa, Kabila kuachia madaraka 2017
Dec 31, 2016 04:00Hatimaye serikali na upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia muafaka, ambapo Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo amekubali kung'atuka uongozini mwishoni mwa mwaka ujao 2017.
-
Serikali ya DRC yawaachia huru wanaharakati wa upinzani
Dec 28, 2016 10:40Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewaachia huru wanaharakati wa upinzani waliokamatwa hivi karibuni katika maandamano dhidi ya serikali ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.
-
Wapinzani DRC watoa sharti la kukubali muafaka wa kisiasa
Dec 24, 2016 04:15Wapinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa sharti ambalo wanasema lazima upande wa serikali ulikubali ili waunge mkono muafaka hafifu wa kisiasa uliofikiwa jana.