-
Rais Mugabe wa Zimbabwe aelekea Singapore kupata matibabu
Jul 09, 2017 23:28Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe yuko nchini Singapore kwa ajili ya matibabu, hii ikiwa ni safari yake ya tatu ya kitiba nchini humo mwaka huu.
-
Iran na Zimbabwe zajadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
May 17, 2017 09:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimejadili njia mbalimbali za kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi mbili hizo.
-
Uislamu unaenea kwa kasi nchini Zimbabwe
May 15, 2017 23:34Uislamu unaenea kwa kasi nchini Zimbabwe huku wakaazi wengi wa nchi hiyo wakiwa sasa wanafahamu na kukubali mafundisho ya dini hiyo tukufu.
-
Iran kufungua kampuni ya kutengeneza trekta nchini Zimbabwe
May 14, 2017 02:48Balozi wa Iran mjini Harare amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuanzisha kampuni ya kutengeneza tingatinga nchini Zimbabwe.
-
Viongozi wa upinzani Zimbabwe kuungana ili kupambana na Rais Mugabe katika uchaguzi wa 2018
Apr 20, 2017 02:35Wapinzani wawili wakuu wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wamesema wameamua kuungana ili kuhakikisha kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 93 haendelei kubaki tena madarakani kwa muhula mwengine wa miaka mitano.
-
Makumi ya watu waaga dunia kwa malaria Zimbabwe
Mar 27, 2017 23:24Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuwa watu wasiopungua 150 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa malaria nchini Zimbabwe katika muda wa miezi miwili iliyopita.
-
Wapinzani waandamana Zimbabwe, wadai kuna njama za kuiba kura
Mar 22, 2017 11:12Maelfu ya wafuasi wa vyama vya upinzani nchini Zimbabwe wameshiriki maandamano katika mji mkuu Harare, kulalamikia kile wanachodai kuwa ni njama ya kuiba kura katika uchaguzi ujao wa rais.
-
Iran na Zimbabwe kuendeleza ushirikiano wa kibiashara
Mar 15, 2017 13:04Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, ameonana na mkuu mtendaji wa taasisi ya ustawi wa kibiashara ya nchi hiyo na pande mbili zimesisitizia haja ya kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi baina yao.
-
Iran na Zimbabwe kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
Mar 03, 2017 04:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimesisitiza juu ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika uga wa uchumi.
-
Zimbabwe: Tutaendelea kushirikiana na Iran kutetea Wapalestina
Feb 23, 2017 09:49Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezikosoa baadhi ya nchi zinazojiita za Kiislamu kwa kushindwa kusimama kidete kutetea maslahi ya Wapalestina.