-
Rais wa Ufaransa azabwa kibao na mkewe hadharani + Video
May 26, 2025 11:07Kitendo cha mke wa Rais wa Ufaransa cha kumzaba kibao mumewe hadharani mara baada ya kuwasili kwa ndege nchini Vietnam, kimempiga bumbuwazi Rais Emmanuel Macron aliyezabwa kibao hicho na kila aliyeangalia video hiyo.
-
Tanzania kunufaika na uwezo wa kiteknolojia wa Iran + Video
May 06, 2025 07:15Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, ulifanyika kuanzia Aprili 27 hadi Mei 1, 2025 jijini Tehran kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 38 na wajumbe 51 rasmi. Mkutano huo pia ulifanyika sambamba na maonyesho ya uwezo wa kiuchumi wa Iran yajulikanayo kama IRAN EXPO 2025.
-
Siku mbaya zaidi: Israeli yaua karibu watu 80 wa Ghaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN
Apr 03, 2025 14:26Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze tena mauaji yake ya kijinai na ya umati kwenye ukanda huo uliozingiwa kila upande.
-
Iran yazindua ‘Mji Mkubwa wa Makombora’ chini ya ardhi + Video
Mar 26, 2025 11:12Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kimezindua “mji mkubwa wa makombora" ulioko chinia ya ardhi, ukiwa ni moja kati ya vituo vyake vingi vya aina hiyo.
-
Kuendelea mashambulizi na jinai za Wazayuni kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi
Feb 25, 2025 02:28wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameshambulia maeneo mbalimbali katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mwana wa Nasrullah asema siku ya Jumapili ya mazishi ya baba yake ni "Siku ya Kutangaza Msimamo"
Feb 22, 2025 06:07Sayyid Muhammad Mahdi Nasrullah, mwana wa Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon aliyeuawa shahidi amesema katika hotuba ya kuwatolea mwito watu kuhudhuria mazishi ya baba yake kwamba: "kushiriki katika mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah kutakuwa ni kushiriki mtu katika siku ya kutangaza msimamo na kudhihirisha kivitendo mapenzi yake kwa Shahidi Nasrullah".
-
Al-Alam yaripoti hasira za Wazayuni kutokana na HAMAS kutumia gari ya Israel kukabidhi mateka + Video
Feb 02, 2025 02:52Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi wafungwa Wazayuni iliokuwa inawashikilia kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Baraza la Mawaziri latangaza tena itiifu wao kwa malengo ya kiongozi mwasisi, Imam Khomeini
Feb 01, 2025 12:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baraza lake la mawaziri mapema leo wamezuru haram ya mwasisi Jamhuri ya Kiislamu na kutangaza tena utiifu na mfungamano wao kwa thamani na malengo ya Imam Ruhullah Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu).
-
Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yamebadilisha utaratibu wa dunia: Mhadhiri mwandamizi wa Ghana
Feb 01, 2025 12:56Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana Dk Munir Mustapha amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha mfumo wa dunia na ameyataja kuwa ndiyo yenye nguvu kubwa na ambayo yamekuwa na taathira kubwa imeyozidisha ushawishi wa Iran katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumbe wake wa demokrasia ya kidini.
-
Maiti 30 zaopolewa mtoni baada ya ndege ya abiria kugongana na helikopta Marekani
Jan 30, 2025 12:50Kwa akali miili 30 imetolewa katika maji ya Mto Potomac kufuatia ajali ya kugongana ndege moja ya abiribia na helikopta ya kijeshi jirani na Uwanja wa Ndege wa Reagan mjini Washinton DC Marekani.