Video
  • Ajali haina kinga

    Ajali haina kinga

    Jul 19, 2016 08:29

    Hawakukosea waliosema, ajali haina kinga. Kipande hiki kifupi cha video kinathibitisha hilo

  • Uvurundo wa karne katika soka

    Uvurundo wa karne katika soka

    Jul 12, 2016 08:08

    Hata makosa nayo yanazidiana. Kuna baadhi ya makosa ni "blanda" na uvurundo ambao hufanyika kiutaalamu kiasi kwamba hata aliyefanya uvurundo huo akiambiwa aurudie hawezi kama vinavyoonesha baadhi ya vipande hivi vya sekundi za hatari katika soka...

  • Mtu hafi ila kwa siku yake kufika

    Mtu hafi ila kwa siku yake kufika

    Jul 12, 2016 08:05

    Kuna matukio mbalimbali hutokezea katika maisha ya wanadamu na kuthibitisha kuwa mtu hufa kwa ahadi yake kufika. Moja ya matukio hayo ni la dereva huyu aliyenusurika kifo kwa sekunde chache tu.

  • Ayatullah Khamenei: Marekani, chanzo cha ugaidi, vita katika ulimwengu wa Kiislamu

    Ayatullah Khamenei: Marekani, chanzo cha ugaidi, vita katika ulimwengu wa Kiislamu

    Jul 06, 2016 14:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema chanzo kikuu cha vita, ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia na Ulimwengu wa Kiislamu ni madola makubwa ya kiistikbari yakiongozwa na Marekani.

  • Utamu wa kabumbu... Pasi za ajabu katika kandanda... Utafurahi

    Utamu wa kabumbu... Pasi za ajabu katika kandanda... Utafurahi

    Jul 04, 2016 09:11

    Kila mchezo una mvuto wake, lakini kwa mashabiki wa kandanda, watakubaliana nami kuwa, mvuto ulioomo kwenye kipande hiki cha video hawajawahi kuona mfano wake... Pasi ipi imekuvutia zaidi? Nina yakini utashindwa kujua ipi imekumaliza zaidi... Ajabu ni kuwa pasi hizo zimetolewa kwenye michuano migumu, si katika mazoezi...

  • Vijana wa Lamu Kenya wafanya usafi kujitayarisha kwa sikukuu ya Idul Fitr

    Vijana wa Lamu Kenya wafanya usafi kujitayarisha kwa sikukuu ya Idul Fitr

    Jul 02, 2016 12:51

    Vijana wa Lamu nchini Kenya wameendeleza sunna nzuri ya kufanya usafi kwa ajili ya kujitayarisha kwa sikukuu kubwa ya Waislamu, sikukuu ya Idul Fitr. Video hii inaonesha baadhi ya vijana hao wakiwa kazini wakizungumzia suala hilo...

  • Baadhi ya wakati wanyama wanawazidi binadamu kwa kuoneana huruma

    Baadhi ya wakati wanyama wanawazidi binadamu kwa kuoneana huruma

    Jul 02, 2016 10:05

    Baadhi ya wakati wanyama huoneana huruma kuliko hata wanadamu, kama wanavyoonesha makobe hawa wawili katika kipande hiki cha video kilichoenea kwenye mitandao ya kijamii.

  • Mchezo mwingine wa kucheza na roho za watu haufai...

    Mchezo mwingine wa kucheza na roho za watu haufai...

    Jul 02, 2016 09:57

    Rubani wa ndege hii, bila ya kujali idadi kubwa ya roho za watu zilizoko kwenye dhima yake, alifanya mchezo huu wakati akirusha ndege. Michezo ya namna hii haifai...

  • Jeshi la Iraq liliposhambulia msafara mkubwa wa Daesh nje ya Fallujah

    Jeshi la Iraq liliposhambulia msafara mkubwa wa Daesh nje ya Fallujah

    Jul 02, 2016 09:10

    Baada ya kuzidiwa nguvu katika mji muhimu na wa kiistratijia wa Fallujah nchini Iraq, kundi la Daesh (ISIS) liliamua kukimbia kwenye msafara mkubwa wa magari kuelekea upande wa Syria kwa ajili ya kuunganisha nguvu upya. Hata hivyo jeshi la anga la Iraq liliushambulia vikali msafara huo wa Daesh kama inavyoonesha video hii kutoka Wizara ya Ulinzi ya Iraq.