-
Operesheni za Yemen zailazimisha Israel kuifunga bandari ya Eilat; ushindi kwa Ansarullah
Jul 18, 2025 01:31Bandari ya Eilat ya utawala wa kizayuni wa Israel itasitisha shughuli zake kuanzia Jumapili baada ya kushindwa kulipa madeni yake kufuatia kushuka kwa mapato kulikosababishwa na mashambulizi ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika Bahari Nyekundu.
-
Waliofariki katika ajali ya moto Iraq wafikia 71, wataombolezwa kwa siku 3
Jul 17, 2025 08:58Duru za habari za Iraq zimetangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki kutokana na moto uliotokea katika mji wa Kut, jimboni Wasit mashariki mwa Iraq, imefikia 77.
-
Nini lengo la utawala wa kizayuni la kuzusha mgogoro nchini Syria?
Jul 17, 2025 06:42Utawala wa kizayuni wa Israel unaendelea na mashambulizi yake katika maeneo mbalimbali ya Syria kwa lengo la kuzusha mgogoro nchini humo.
-
Bunge la Waarabu lalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria, Lebanon
Jul 17, 2025 03:13Bunge la Waarabu limelaani vikali mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya maeneo ya Syria na Lebanon, na kutangaza kuwa huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na tishio kubwa kwa utulivu wa kikanda.
-
Ansarullah yapiga kwa kombora, droni maeneo hasasi ya Israel
Jul 17, 2025 01:09Vikosi vya Wanajeshi vya Yemen vimeshambulia maeneo matatu nyeti ya Israel kwa kombora la balestiki na ndege nne zisizo na rubani, baada ya kuulazimisha utawala huo ghasibu kutangaza kufungwa kwa moja ya bandari zake muhimu.
-
Mabomu ni ghali, risasi ni bei nafuu! Mkakati wa Marekani na Israel wa kuwaua Wapalestina katika safu za chakula
Jul 16, 2025 13:20Katika mwezi wa 23 wa Vita vya Gaza, ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza kwa ukatili na unyama wa hali ya juu na kwa kutumia silaha ya njaa, sasa utawala huo umebuni mbinu mpya kwa ajili ya kile kinachojulikana kama 'mauaji ya bei nafuu' ya wakazi wa Gaza.
-
Kamanda wa ulinzi wa anga wa Israel abadilishwa kutokana na kipigo cha makombora cha Iran
Jul 16, 2025 10:22Kamanda wa kikosi cha ulinzi wa anga cha jeshi la Israel amebadilishwa kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya makombora ya Iran yaliyolenga maeneo ya Palaestina yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Kwa nini Wapalestina wengi wanaunga mkono misimamo ya makundi ya muqawama katika mazungumzo ya Doha?
Jul 15, 2025 23:29Matokeo ya uchunguzi wa Kituo cha Uchunguzi na Utafiti wa Palestina, kwa ushirikiano na Kituo cha Kimataifa cha Sanaa, yanaonyesha kuidhinishwa na wananchi wa Palestina matakwa ya muqawama wa Palestina katika mazungumzo ya kusimamisha vita na kubadilishana wafungwa yanayoendelea huko Doha, mji mkuu wa Qatar.
-
Israel yaua watu 12 Lebanon katika ukiukaji mkubwa zaidi wa usitishaji vita
Jul 15, 2025 14:12Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limewaua shahidi watu wasiopungua 12 katika mashambulizi ya kinyama ya anga mashariki mwa Lebanon katika ukiukaji mkubwa zaidi wa usitishaji mapigano ambao ulianza kutekelezwa Novemba mwaka jana
-
Jeshi la Israel limeiba punda wa Ghaza na kuwasafirisha kuwapeleka Ufaransa
Jul 15, 2025 12:14Jeshi la utawala kizayuni wa Israel limeripotiwa kuiba mamia ya punda kutoka Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro, kuwavusha kimagendo hadi Israel, na kisha kuwasafirisha kuelekea Ufaransa ili kuzuia wasitumike katika ujenzi upya wa Ghaza.