-
Yedioth Ahronoth: Israel leo iko mikononi mwa serikali kichaa
Jul 15, 2025 07:24Katika tahariri yake ya leo, Jumanne, gazeti la Yedioth Ahronoth limeshambulia mbinu ya baraza la mawaziri na muungano wa Netanyahu, na kuliita baraza la mawaziri kichaa ambalo lazima lipinduliwe.
-
Umoja wa Mataifa: Hali ya Gaza ni mbaya; kusitisha mapigano haitoshi
Jul 15, 2025 07:22Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameitaja hali ya Gaza kuwa mbaya na kusema kuwa, usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza pekee hautoshi.
-
Hamas: Netanyahu hana nia ya kufikia makubaliano ya usitishaji vita
Jul 15, 2025 01:22Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imesema Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu hana azma kabisa ya kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano, ili kuhitimisha kampeni ya mauaji ya halaiki inayoendelea katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa.
-
Wanajeshi wengine 4 wa Israel waangamizwa katika mashambulizi tofauti Gaza
Jul 14, 2025 12:30Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti habari ya kuangamizwa wanajeshi wanne wa Kizayuni katika mashambulizi tofauti katika Ukanda wa Gaza jana Jumatatu.
-
Ripoti: Israel inatumia droni za kiraia kuwaua watoto wa Gaza
Jul 14, 2025 10:09Jeshi la Israel limekiri kutumia ndege zisizo na rubani za kiraia kushambulia maeneo ya Gaza, na kuua raia wa Kipalestina, aghalabu yao wakiwa watoto wadogo.
-
Hamas: 'Jinamizi' la shahidi Deif linaendelea kuwaandama wahalifu wa kivita wa Israel
Jul 14, 2025 09:38Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imesema urithi wa kamanda aliyeuawa shahidi Mohammad Deif utaendelea kuwaandama wahalifu wa kivita wa Israel kama "ndoto mbaya".
-
Je, ushirikiano wa serikali za Magharibi na Wazayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina una kiwango na mpaka?
Jul 14, 2025 08:16Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza katika indhari liliyotoa hivi karibuni kwamba hali ya huduma za afya katika Ukanda wa Ghaza imefikia kiwango cha maafa.
-
Waliouawa shahidi Ghaza wapindukia 58,000, Israel yaendeleza mashambulizi ya kinyama bila ya khofu
Jul 14, 2025 00:38Wapalestina wasiopungua 58,026 wameshuawa shahidi katika vita vya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 2023.
-
Olmert: Walowezi haramu wanafanya 'uhalifu wa kivita' Ufukwe Magharibi kwa uungaji mkono wa utawala
Jul 13, 2025 14:03Waziri mkuu wa zamani wa utawala wa kizayuni Israel Ehud Olmert amekiri kuwa walowezi haramu wa kizayuni wamekuwa wakifanya "uhalifu wa kivita" kila leo dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na utawala wa Tel Aviv.
-
Hizbullah: Mauaji ya Sheikh Shahoud yanalenga kuvuruga umoja na mshikamano wa Syria
Jul 13, 2025 10:24Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya kiongozi maarufu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Rasoul Shahoud, aliyeuawa katika shambulizi lililotokea katika mkoa wa Homs, Syria ya kati.