-
UNICEF na WFP: Hali ya watoto Ukanda wa Gaza ni mbaya mno
Jun 06, 2025 23:00Mashirika na asasi mbalimbali za kimataifa zimeendelea kuonya kuhusiana na hali mbaya inayowakabili watoto katika Ukanda wa Gaza.
-
Marais wa Iran na Misri watangaza dhamira ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jun 06, 2025 08:15Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, na Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi, wametangaza azma ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano baina ya mataifa yao mawili.
-
Greta Thunberg ahimiza dunia kukabiliana na jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Jun 06, 2025 08:15Mwanaharakati maarufu wa mazingira kutoka Sweden, Greta Thunberg, amesema kuwa dunia inapaswa kuelekeza macho na msisitizo wake kwenye “mzingiro na ukandamizaji” unaoendelea kufanywa na utawala wa Israel dhidi ya watu wa Gaza na siyo safari yake ya baharini na kundi la kibinadamu linaloelekea Ukanda huo ulioko chini ya mzingiro.
-
Wanamapambano wa Palestina Gaza waua makomandoo watano wa jeshi la Israel
Jun 06, 2025 08:14Wanamapambano watano wanaopigania ukombozi wa Palestina huko Gaza wamewaua na kuwajeruhi makomandoo kadhaa wa jeshi katili la Israel katika shambulio la kushtukiza dhidi ya vikosi vya utawala uvamizi wa Israel, mashariki mwa mji wa Khan Yunis, katika Ukanda wa Gaza.
-
Zaidi ya watoto 40,000 wabakia mayatima Gaza kutokana na vita vya Israel
Jun 05, 2025 22:57Zaidi ya watoto 40,000 wanaripotiwa kuabakia mayatima katika Ukanda wa Gaza kutokana na hujuma na vita vya utawala haramu wa Israel katika Ukanda huo.
-
Afisa Mzayuni apandishwa cheo kwa kufanya jinai kubwa Ghaza
Jun 05, 2025 22:57Nduli mmoja wa utawala wa Kizayuni amepandishwa cheo kwa kufanya jinai kubwa zaidi dhidi ya watu wasio na hatia wa Ukanda wa Ghaza.
-
Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah wasimama Arafa
Jun 05, 2025 09:30Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu leo wamesimama katika uwanja wa Arafa kisimamo hicho kikiashiria kilele cha ibada tukufu ya Hijja.
-
Mufti wa Oman ataka mataifa ya dunia kujifunza kutoka kwa Yemen
Jun 05, 2025 09:23Mufti Mkuu Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili, amesisitiza kuwa, leo hii majeshi ya madola dhalimu na ya kibeberu duniani yameinamisha vichwa vyao mbele ya Yemen na ameyataka mataifa yanayotaka kuwa huru duniani, kuiga mfano wa Yemen katika kukabiliana na maadui wa mataifa yao.
-
Hamas: Veto ya Marekani ni kuipa idhini Israel kufanya uhalifu zaidi
Jun 05, 2025 09:11Harakati za HAMAS na Jihadul Islami za Palestina zimetoa taarifa za kulaani vikali hatua ya Marekani ya kutumia kura ya turufu katika Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni kuzidi kuipa idhini Israel ifanye jinai kubwa zaidi.
-
Iran: Tutaendelea kuiunga mkono Lebanon kwa hali na mali
Jun 05, 2025 03:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu kuimarisha ushirikiano na Lebanon, alipokutana na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem mjini Beirut.