-
Watoto laki 6 wa Kipalestina Gaza katika hatari ya kupata ulemavu
Apr 07, 2025 08:06Wizara ya Afya katika Ukanda wa Gaza imesema hatua ya Israel ya kuzuia kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa kupooza wa polio inawaweka malaki ya watoto wa Kipalestina katika hatari ya kupata ulemavu wa kudumu.
-
Hamas yapongeza wafanyakazi Microsoft kwa kufichua ushiriki wa kampuni hiyo katika mauaji ya kimbari Gaza
Apr 06, 2025 23:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeelezea kufurahishwa na misimamo ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft wakati wa sherehe ya miaka 50 ya kampuni hiyo ya teknolojia wakipinga ushiriki wa Microsoft katika vita vya mauaji ya halaiki vya jeshi la Israeli katika Ukanda wa Gaza.
-
Kusimama imara muqawama wa Yemen kumeleta mabadiliko yapi Asia Magharibi?
Apr 06, 2025 23:14Vikosi vya ulinzi vya Yemen vinaendelea kutekeleza oparesheni katika Bahari Nyekundu na katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel); na hatua za muqawama wa Yemen zimekuwa na taathira kwa matukio ya kanda hiyo ya Magharibi mwa Asia.
-
Israel 'yaumbuka' baada ya vidio kufichua ukweli halisi kuhusu mauaji ya wahudumu 15 wa tiba
Apr 06, 2025 03:15Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza mwezi uliopita, inasuta na kukinzana na madai yaliyotolewa na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusu namna mauaji ya wahudumu hao yalivyotokea.
-
UNICEF: Watoto zaidi ya milioni moja Ghaza wamekosa misaada kwa zaidi ya mwezi mmoja
Apr 06, 2025 03:11Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada ya kibinadamu wakati huu ambapo utawala ghasibu wa Israel umezuia kikamilifu misaada yote ya kibinadamu ya kuokoa maisha kuingizwa katika eneo hilo.
-
Ripoti: Ukatili unaoendelezwa na Israel Gaza umepita aina zote za ugaidi wa kisasa
Apr 05, 2025 22:59Shirika la Haki za Binadamu la Euro-Med, lenye makao yake mjini Geneva, limelaani vikali ukatili wa Israel katika Ukanda wa Gaza, likisema kuwa ukatili huo "umepita hata aina zote za ugaidi wa kisasa."
-
Hamas: Takriban watoto 19,000 wameuawa shahidi huko Ghaza
Apr 05, 2025 07:20Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, takriban watoto 19,000 wameshauawa shahidi huko Ghaza na takriban watoto 39,000 wamepoteza kwa uchache mzazi mmoja au wote wawili.
-
Al Houthi: Marekani imeshindwa katika malengo yake dhidi ya Yemen/ Al Bukhaiti: Hakuna haja ya kuzungumza na Marekani
Apr 05, 2025 04:49Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana na Marekani katika eneo na kusisitiza kuwa mataifa ya Magharibi hayapasi kunyamaza kimya mkabala wa hali ya mambo ya sasa ya Palestina.
-
Mufti wa Oman akosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za Israel dhidi ya Ghaza
Apr 05, 2025 03:50Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Yemen yalishambulia kwa droni eneo la kijeshi la Israel, Tel Aviv, yatungua droni ya US Sa'daa
Apr 05, 2025 03:49Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimefanya operesheni ya kijeshi kulenga eneo la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Yafa kwa kutumia ndege isiyo na rubani ya Yaffa iliyotengenezwa ndani ya Yemen, na kuiangusha pia ndege isiyo na rubani ya Marekani aina ya Giant Shark F360 katika Mkoa wa Sa'daa.