-
Mkuu wa UNRWA alaani mashambulizi ya Israel dhidi ya majengo ya Umoja wa Mataifa
Apr 04, 2025 23:07Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi wa Kipalestina limelaani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya majengo ya taasisi hiyo huko Gaza.
-
UN: Israel imegeuza theluthi mbili za ardhi ya Ghaza kuwa eneo lisiloruhusiwa kufika
Apr 04, 2025 23:06Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa, hivi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi Wapalestina vya kutoruhusiwa kufika kwenye takriban theluthi mbili ya eneo la Ukanda wa Ghaza, ama kwa kuyatangaza maeneo makubwa kadhaa ya ukanda huo kuwa ni marufuku kufika au kutoa amri ya kuwalazimisha wananchi hao kuyahama makazi yao.
-
Watu watatu wauawa, akiwemo afisa wa Hamas, katika shambulio la Israel kusini mwa Lebanon
Apr 04, 2025 06:44Angalau watu watatu, akiwemo afisa mwandamizi wa harakati ya Hamas, wameuawa katika shambulio la anga la Israel lililolenga nyumba moja kusini mwa Lebanon, katika ukiukaji wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Mashambulizi mapya ya anga ya Marekani yalenga maeneo kadhaa Kaskazini mwa Yemen
Apr 04, 2025 06:40Marekani imeendeleza mashambulizi dhidi ya Yemen kwa kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo ya Kiarabu, yakilenga maeneo ya raia na baadhi ya maeneo ya kijeshi.
-
UN: Mashambulizi ya Israel dhidi ya magari ya wagonjwa ni jinai ya kivita
Apr 04, 2025 03:34Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amesema kuwa hatua ya Israel ya kufyatulia risasi magari ya wagonjwa huo Ghaza inaweza kuwa jinai ya kivita.
-
Vikosi vya Yemen vyatungua ndege isiyo na rubani ya Marekani MQ-9
Apr 03, 2025 23:40Jeshi la Yemen limeitungua ndege isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani wakati ilipokuwa inafanya mashambulizi ya kiuadui katika anga ya mkoa wa Hodeidah. Hiyo ni droni ya 17 kutunguliwa na Jeshi la Yemen kama sehemu ya vita vitakatifu vya Jihad vya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.
-
Kwa nini mashambulizi ya Marekani dhidi ya Wayemen hayana athari?
Apr 03, 2025 23:05Kanali ya 12 ya Televisheni ya Utawala wa Kizayuni imekiri kuwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen hayajazaa matunda. Licha ya mashambulizi hayo kuongezeka, hayakuweza kuzuia mashambulizi ya makombora yanayoelekezwa Israel.
-
Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15
Apr 03, 2025 08:07Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Guterres asisitiza kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Gaza/ Iran pia yatoa wito wa kuchukuliwa hatua kimataifa kusitisha mauaji ya kimbari dhidi ya Gaza
Apr 03, 2025 08:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kurejea haraka iwezekanavyo katika makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yaua Wapalestina wengine karibu 80 Gaza, Guterres asikitika
Apr 03, 2025 03:35Makumi ya Wapalestina wengine wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza usiku kucha.