-
Jeshi la Yemen laendelea kuzitwanga kwa makombora meli za kivita za Marekani
Mar 30, 2025 07:42Jeshi la Yemen limetangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za kivita za Marekani, ikiwa ni pamoja na USS Harry S. Truman, katika Bahari Nyekundu, ikiwa ni kuendelea kukabiliana na uvamizi wa Marekani dhidi ya Yemen.
-
Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr
Mar 30, 2025 07:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu na Kiarabu kuongeza juhudi na uungaji mkono kwa Wapalestina ili kukomesha jinai za Israel na kuondolewa mzingiro kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Adui vamizi amepokeaje pendekezo la Misri na Qatar kuhusu Ghaza?
Mar 30, 2025 07:39Utawala vamizi wa Israel umekataa pendekezo la Misri na Qatar la kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na umetoa pendekezo mbadala lililojumuisha kuachiliwa huru mateka kumi wa Israel.
-
Hizbullah: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa kadhia ya Palestina
Mar 30, 2025 03:51Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya kukombolewa kuondokana na uchokozi na uvamizi wa Israel huku akiulaani vikali utawala wa Israel kwa ukatili wake katika eneo zima ambao unawezeshwa kwa kiasi kikubwa na uungaji mkono wa Marekani.
-
HAMAS: Tumekuwa na mazungumzo ya mfululizo na wapatanishi kwa ajili ya kusitishwa vita Ghaza
Mar 29, 2025 23:08Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku za karibuni, harakati hiyo ya ukombozi wa Palestina imekuwa na mazungumzo ya mfululizo na wapatanishi yanayolenga kutekelezwa tena usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza
-
Katika maadhimisho ya Siku ya Quds Indonesia na Malaysia; Mahathir miongoni mwa waandamanaji
Mar 29, 2025 09:28Waislamu na watetezi wa haki duniani katika nchi za Indonesia na Malaysia wameshiriki kwa maelfu katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yanayofanyika katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwenye pembe mbalimbali za dunia.
-
UN: Kila kitu kinakaribia kumalizika huko Gaza, ikiwa ni pamoja na uhai wa watu
Mar 29, 2025 08:09Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa kila kitu katika Ukanda wa Gaza kinakaribia kumalizika ikiwa ni pamoja na misaada, wakati na uhai wa watu.
-
Marekani yaendeleza hujuma dhidi ya Yemen; yafanya mashambulizi 72 katika saa 24
Mar 29, 2025 07:59Vyombo vya habari vimearifu kuwa, Marekani imefanya mashambulizi 72 ya anga katika maeneo mbalimbali ya Yemen katika muda wa saa 24 zilizopita.
-
Idadi ya waliofariki dunia katika tetemeko la ardhi Myanmar yapindukia 1,000, maelfu wamejeruhiwa
Mar 29, 2025 06:54Idadi ya watu waliofariki dunia katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Myanmar na Thailand imepindukia watu elfu moja.
-
Umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds katika uga wa kikanda na kimataifa
Mar 29, 2025 04:44Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yalifanyika jana Ijumaa tarehe 28 Machi nchini Iran na katika miji na vijiji vya nchi nyingine duniani kwa mahudhurio makubwa ya watetezi wa Palestina.