-
Hizbullah yatwanga ngome za Israel kwa makombora na droni
Mar 12, 2026 04:45Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa mapema leo ikisema kwamba imeshambulia ngome za utawala haramu wa Israel kaskazini na katikati mwa ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Middle East Monitor: Vita vya Iran huenda vikawa mwisho wa kisiasa wa Netanyahu
Mar 12, 2026 04:38Tovuti ya Middle East Minitor imeandika makala ya uchambuzi kuhusu mashambulizi ya kichokozi ya Marekani na utawala wa Kziayuni wa Israel ikisema kuwa vita ambavyo Benjamin Netanyahu amejiandaa kwa ajili yake kwa miaka mingi yumkini vikapelekea kutengwa kisiasa na kuporomoka stratejia yake.
-
Mazungumzo ya kikanda kwa ajili ya kufunga kambi za majeshi ya Marekani Asia Magharibi, kisa? Mashambulizi ya Iran
Mar 11, 2026 04:57Duru za kuaminika zimeiambia Rusia Today kwamba nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zimeanza mazungumzo ya kujadili suala la kufunga kwa muda kambi za majeshi ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?
Mar 09, 2026 09:02Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makundi ya Muqawama yapongeza kuchaguliwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 09, 2026 07:49Harakati za Muqawama zimetoa taarifa zikilipongeza taifa la Iran kwa mnasaba wa kuchaguliwa Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kama Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
China yaionya Israel: Kuendelea vita dhidi ya Iran kutachochea zaidi mgogoro wa Asia Magharibi
Mar 07, 2026 09:36China imeonya kwamba kuendelea kwa vita dhidi ya Iran kunaweza kuzidisha zaidi mgogoro unaoendelea katika eneo la Asia Magharibi.
-
Njama ya 'genge la Netanyahu' ya kushambulia Masjidul Aqsa kwa makombora yatibuka
Mar 07, 2026 05:59Wizara ya Intelijensia ya Iran imefichua njama chafu iliyokuwa ikipikwa na genge la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ya kushambulia kwa makombora Msikiti wa al-Aqsa ili kuibua fitna katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Hizbullah yawataka walowezi wa Kizayuni kuondoka karibu na mpaka wa Lebanon
Mar 06, 2026 04:40Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imewataka walowezi wa vitongoji haramu katika mpaka wa pamoja wa Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel kuondoka katika eneo hilo mara moja.
-
Maafisa 4 wa ngazi za juu wa CIA waangamizwa kwa mashambulizi ya Iran huko Saudia
Mar 05, 2026 15:00Ripoti zinasema kuwa maafisa wanne wa ngazi za juu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na askari 8 wa nchi hiyo wameuawa katika shambulizi la jeshi la Iran lililolenga kituo cha shirika hilo nchini Saudi Arabia.
-
Mashambulizi ya Hizbullah yalipa jeshi la kizayuni mashinikizo ambayo halijawahi kushuhudia
Mar 05, 2026 04:28Vyombo vya habari vya utawala wa kizayuni vimekiri kuwa jeshi la utawala huo ghasibu liko kwenye mashinikizo ambayo halijawahi kushuhudia kutokana na mashambulio ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwenye medani ya kaskazini ya vita ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.