-
Makundi ya mapambano ya Palestina: Wapalestina wasishiriki mkutano wa Sharm El-Sheikh
Mar 18, 2023 22:44Vyama na makundi ya mapambano ya Palestina yamemtaka Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuzuia ushiriki wa Wapalestina katika mkutano wa usalama wa Sharm El-Sheikh.
-
Morocco yasisitiza kuunga mkono kadhia ya Palestina
Mar 18, 2023 10:00Serikali ya Morocco imetangaza kuwa, inaunga mkono na kuipa umuhimu kadhia ya Palestina na kwamba, inalitazama syuala hilo kama moja ya mambo muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa OIC wapongeza mapatano ya Iran na Saudia
Mar 18, 2023 04:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wamepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia.
-
Mufti wa Oman: Mapatano ya Iran na Saudia yameutia hofu na kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 18, 2023 00:37Mufti wa Oman Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili amesisitiza haja ya kudumishwa amani na utangamano katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kubainisha kwamba, makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia yameutia hofu na kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Safari ya Shamkhani UAE; harakati mpya katika diplomasia ya ujirani mwema
Mar 17, 2023 03:53Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Alkhamisi ya jana alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Imarati katika safari yake huko Abu Dhabi na kujadiliana naye kuhusu masuala yanayozihusu pande mbili na matukio muhimu zaidi ya kikanda na kimataifa.
-
Vikosi maalumu vya Israel: Hatutahudumu katika jeshi kuanzia Jumapili
Mar 17, 2023 03:24Maafisa 100 wa Kikosi cha Akiba cha Oparesheni Maalumu cha utawala wa Kizayuni wa Israel wametangaza kuwa, hawatahudumu jeshini kuanzia Jumapili ijayo wakilalamikia uamuzi wa serikali ya utawala huo wa kubadili muundo wa sheria za mahakama.
-
Assad: Nitakutana na Erdogan pale Uturuki itakapoondoka Syria na kuacha kuunga mkono ugaidi
Mar 16, 2023 22:56Rais wa Syria ametoa sharti la kukutana na Rais wa Uturuki akisema kuwa atafanya hivyo iwapo nchi hiyo itaondoa wanajeshi wake katika ardhi ya Syria na kusitisha uungaji mkono wake kwa ugaidi.
-
Mataifa ya Ulaya yakosoa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Mar 16, 2023 04:10Mataifa kadhaa ya Ulaya yamekosoa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na Israel huko Palestina na kutoa mwito wa kukomeshwa mara moja sera hizo ambazo ni kinyume cha sheria za kimataifa.
-
National Review: Makubaliano ya Iran-Saudia ni kikwazo kikubwa kwa sera za kigeni za Marekani
Mar 15, 2023 08:51Jarida la National Review limeandika kuwa: Makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia ambayo yalifikiwa kwa upatanishi wa China ni kushindwa kukubwa kwa malengo ya sera za nje za Marekani katika eneo la Mashariki mwa Asia.
-
HAMAS yaionya Israel dhidi ya kuhujumu Msikiti wa Aqsa wakati wa Ramadhani
Mar 15, 2023 06:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu kuhujumu na kuuvamia Msikiti wa al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.