-
Jihadul-Islami ya Palestina: Kila risasi inayowalenga wanamapambano inawaongezea nguvu
Feb 28, 2023 22:51Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, kila risasi inayofyatuliwa kuwalenga wanamapambano wa Palestina inawaongezea nguvu zaidi wanamapambano hao.
-
Sababu na umuhimu wa safari ya ujumbe wa Muungano wa Mabunge ya Kiarabu nchini Syria
Feb 28, 2023 07:20Baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja, hatimaye Jumapili ya juzi ujumbe wa Muungano wa Mabunge wa Kiarabu uliwasili Damascus mji mkuu wa Syria ukiongozwa na Mohamed al-Halbousi, Spika wa Bunge la Iraq. Siku hiyo hiyo, ujumbe huo ulikutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Mwakilishi wa Palestina UN: Wakati wa kukwepa adhabu Israeli umekwisha
Feb 28, 2023 04:04Balozi wa Kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, wakati wa Israel kukwepa adhabu umekwisha na kwamba maamuzi madhubuti na hatua za kivitendo zinapaswa kuchukuliwa ili kuuadhibu utawala huo ghasibu.
-
Mvutano usio na mfano wake katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; sura halisi ya Israeli
Feb 27, 2023 22:51Makumi ya maelfu ya Wazayuni wamekuwa wakiandamana kupinga baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu katika miji ya Tel Aviv, Haifa, Modi'in na Beersheba kwa wiki ya nane mfululizo.
-
Rais Bashar al Assad aonana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri mjini Damascus
Feb 27, 2023 22:49Rais Bashar al Assad wa Syria, jana Jumatatu alionana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Sameh Shoukry, ambaye ametembelea Damascus kwa ziara ya kikazi, ikiwa ni mkondo mpya wa kurejea nchi za Kiarabu nchini Syria.
-
Ali Al-Kahum: Amani nchini Yemen itapatikana kwa kufukuzwa vikosi vya kigeni
Feb 27, 2023 07:51Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema Marekani na Uingereza zinakwamisha operesheni za misaada ya kibinadamu nchini Yemen na kusisitiza kuwa: Njia ya kurejesha amani nchini humo inapitia lango la kufukuzwa vikosi vya kigeni kutoka nchi hiyo.
-
"Mkutano wa Aqaba unaipa Israel kibali cha kushadidisha jinai dhidi ya Wapalestina"
Feb 27, 2023 06:13Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameashiria mkutano eti wa kiusalama ulioandaliwa na Marekani huko Jordan na kusisitiza kuwa, kikao hicho cha Aqaba kinalenga kuupa utawala wa Kizayuni wa Israel ridhaa ya kushadidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina.
-
Maspika wa mabunge ya nchi za Kiarabu wafika Damascus kuonyesha mshikamano na Wasyria
Feb 27, 2023 04:33Ujumbe wa maspika na wabunge wa baadhi ya mabunge ya nchi za Kiarabu uliwasili Damascus, mji mkuu wa Syria siku ya Jumapili kuonyesha mshikamano na nchi hiyo kufuatia matetemeko makubwa ya ardhi yaliyosababisha vifo vya maelfu ya watu nchini Syria na Uturuki.
-
Changamoto za mazingira zimeathiri eneo zima la Asia Magharibi
Feb 26, 2023 23:03Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taathira na changamoto za kimazingira katika eneo hazijaathiri nchi chache pekee, bali zimeathiri eneo zima la Asia Magharibi na kuongeza kuwa uamuzi wa nchi yoyote wa kutoshirikiana na nchi nyingine katika uwanja huo hautaisadia lolote.
-
Misri: Syria itarejea katika nafasi yake katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Feb 26, 2023 23:02Spika wa Bunge la Misri, ambaye ni miongoni mwa maspika 12 wa nchi za Kiarabu waliotembelea Damascus, mji mkuu wa Syria ikiwa ni mara ya kwanza tangu miaka 12 iliyopita, amesema kuwa, Syria itarejea kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).