-
Iran yataka hatua zichukuliwe kukomesha jinai ya Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 27, 2023 08:51Iran imeitaja kambi ya wakimbizi ya Jenin kama ngome ya muqawama au mapambano na imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za haraka kukomesha jinai za utawala haramu wa Israel baada ya utawala huo kuua Wapalestina 10 siku ya Alhamisi.
-
Siku ya umwagaji damu katika kambi ya Jenin; kilele cha misimamo mikali ya baraza la mawaziri la Netanyahu
Jan 27, 2023 03:29Ikiwa ni katika kuendeleza ugaidi na jinai dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, Alkhamisi asubuhi, baraza la mawaziri lenye misimamo mikali ya kupindukia mipaka la utawala wa Kizayuni lilitekeleza jinai nyingine ya kutisha dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika kambi ya wakimbizi huko Jenin.
-
Israel yaufyata baada ya onyo la Russia, yakataa ombi la US la kuipa Ukraine makombora
Jan 26, 2023 23:18Utawala haramu wa Israel umepinga ombi la Marekani la kuutaka uipe Ukraine makombora na silaha nyinginezo, baada ya Russia kuonya vikali dhidi ya kupewa Kiev misaada ya kijeshi na zana za vita.
-
Onyo la Herzog la kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya utawala wa Kizayuni
Jan 26, 2023 22:41Mizozo na migogoro imeongezeka ndani ya utawala wa Kizayuni kiasi kwamba, rais wa utawala huo pandikizi, Isaac Herzog ametishia tena kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe na hali ya Israel kuripuka kutokana na mizozo ya kisiasa na mifarakano shadidi katika jamii ya utawala wa Kizayuni.
-
Wapalestina 9 wauliwa shahidi katika jinai ya kinyama ya Wazayuni katika mji wa Jenin
Jan 26, 2023 07:23Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamevamia kambi ya wakimbizi wa Palestina katika mji wa Jenin na kuwauwa shahidi Wapalestina 9.
-
Taasisi za haki za binadamu zaidi ya 170 zataka kuhitimishwa maafa ya binadamu Yemen
Jan 26, 2023 05:13Mashirika na taasisi za haki za binadamu za kimataifa zaidi ya 170 zimetaka kuhitimishwa maafa ya binadamu huko Yemen na mzingiro dhidi ya nchi hiyo.
-
Israel yakiuka sheria za kimataifa kwa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni
Jan 26, 2023 04:06Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi za vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas: Kutiwa nguvuni wanamuqawama kunakofanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kuihudumia Israel
Jan 25, 2023 02:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa radiamali kufuatia hatua ya idara za usalama za Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwatia nguvuni wanamuqawama na wanachama wa harakati hiyo katika Ukingo wa Magharibi na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni sawa na kuuhudumia utawala wa Kizayuni.
-
Netanyahu azidi kupelekwa mchakamchaka, kiongozi mwingine wa serikali ajiuzuluu
Jan 24, 2023 07:40Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza hbari ya kujiuzulu kiongozi mwingine wa serikali ya utawala huo poandikizi na kuzidi kuipeleka mchakamchaka serikali yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu.
-
Mtazamo mwingine kuhusu uwekezaji mkubwa wa Bin Salman katika michezo Saudia
Jan 24, 2023 02:45Iwapo mtu yeyote atafuatilia habari za Saudi Arabia baada ya kunyakuliwa madaraka ya nchi hiyo ya kifalme na Mohammed bin Salman, atakumbana na mkanganyiko mkubwa katika mielekeo na sera za nchi hiyo.