-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena lataka mtazamo wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kuhusu Palestina
Jan 01, 2023 23:04Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kwa kupitisha azimio, limetaka maoni ya ushauri ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu namna utawala ghasibu wa Israel unavyokiuka haki ya Wapalestina ya kujitawala na kujiainishia hatima na utawala wao.
-
Wabahraini waandamana kumuenzi Shahidi Ayatullah al Nimr
Jan 01, 2023 06:49Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ikiwa ni katika kumbukumbu ya kumuenzi Shahidi Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al Nimr kiongozi wa Waislamu wa Kishia wa Saudi Arabia aliyeuliwa shahidi na utawala wa Aal Saud.
-
Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha
Jan 01, 2023 03:54Waziri Mkuu wa Israel amesema azimio jipya lililopitishwa dhidi ya utawala huo haramu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa halina maana wala umuhimu wowote.
-
UN: Thuluthi moja ya Waarabu wanaishi katika umaskini
Jan 01, 2023 03:42Taasisi ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, thuluthi moja ya jamii ya Waarabu wanaishi katika hali ya umaskini na uchochole wa kupindukia.
-
Washington Post yakiri: 2022 mwaka wa mauaji zaidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jan 01, 2023 00:44Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa wanajeshi wa Israel waliua Wapalestina wengi zaidi mwaka uliomalizika jana wa 2022 kuliko mwaka wowote mwingine tangu Umoja wa Mataifa uanze kurekodi idadi ya Wapalestina wanaouawa na Israel mwaka 2005.
-
HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel
Dec 31, 2022 22:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kupitisha maazimio kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni bila ya kufikiria njia za kivitendo za kuwezesha utekelezaji wake.
-
Mapitio katika uhusiano wa Iran na Oman; majirani wawili wenye maslahi na mambo mengi ya pamoja
Dec 31, 2022 22:56Kati ya mataifa ya Kiarabu ya Ukanda wa Ghuba ya Uajemi, Oman ni moja ya mataifa ambayo daima yamekuwa na uhusiano thabiti na wa kirafiki na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) yasisitiza wasichana kupatiwa elimu Afghanistan
Dec 31, 2022 09:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ametoa wito wa kufanyika kampeni ya kuandaa mazingira ya kupatiwa elimu wasichana wa Afghanistan.
-
Mufti Mkuu wa Oman aunga mkono kususiwa utawala haramu wa Israel
Dec 31, 2022 05:40Mufti Mkuu wa Oman ameunga mkono mpango wa Bunge la nchi hiyo wa kususiwa utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina.
-
Hamas yaipongeza Oman kwa msimamo wake wa kususiwa utawala wa Kizayuni
Dec 31, 2022 04:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesifu na kupongeza msimamo wa Bunge la Oman katika fremu ya kushadidisha kususiwa utawala haramu wa Israel.