-
Athari mbaya za vita vya Yemen kwa wanawake na watoto
Dec 07, 2022 22:50Waziri wa Afya wa serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, wanawake na watoto wa nchi hiyo ndio wanaoathiriwa moja kwa moja na athari mbaya za vita vya Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo.
-
Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina
Dec 07, 2022 10:22Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa "Twitter" ambapo ameipongeza Morocco kwa ushindi wa timu ya kandanda ya nchi hiyo dhidi ya Uhispania hiyo jana na kufuzu kuingia robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar.
-
Waziri wa Lebanon asusia jopokazi la Uholanzi kwa kuwemo humo Mzayuni
Dec 07, 2022 03:26Waziri wa Utamaduni wa Lebanon ametangaza kuwa atajiondoa katika jopokazi la ushirikiano baina ya Lebanon na Uholanzi kutokana na kuwemo humo mkurugenzi wa makumbusho ya utawala wa Kizayuni.
-
Al Jazeera yawasilisha mashtaka ya mauaji Shireen kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC
Dec 06, 2022 23:43Mtandao wa Habari wa Al -Jazeera umetangaza kuwa umewasilisha kesi ya mauaji ya mfanyakazi wake, Shireen Abu Akleh, katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa huko Hague.
-
Ya'alon : Baraza la mawaziri la Netanyahu ni baraza la mawaziri mtenda jinai
Dec 06, 2022 23:42Waziri wa zamani wa ulinzi wa Israel ameashiria baraza la mawaziri linaloundwa na Benjamin Netanyahu na kusisitiza kuwa linaonekama kuwa ni baraza la vita.
-
Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar
Dec 06, 2022 23:42Harakati ya "kuziba midomo" iliyofanywa na wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani kwenye mechi yao ya ufunguzi katika Kombe la Dunia 2022 huko Qatar dhidi ya Japan, ilisababisha matatizo ndani ya kambi ya timu hiyo, na kuibua tofauti kati ya wachezaji ambao walikataa kushiriki kwenye kampeni ya kutetea ushoga.
-
Khiyana zingine mbili za Imarati dhidi ya Palestina
Dec 06, 2022 22:56Isaac Herzog, Rais wa utawala haramu wa Israel Jumatatu alasiri aliwali Abu Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarat) ikiwa ni safari yake ya pili katika nchi hiyo kwa mwaka huu wa 2022.
-
'Arin al Usud: Tumefanya operesheni 5 za kulipiza kisasi dhidi ya Wazayuni
Dec 06, 2022 07:12Kundi la mapambano ya Kiislamu la 'Arin al Usud (Pango la Simba) linaloendesha mapambano yake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina limetoa taarifa na kusisitiza kuwa limefanya operesheni tano za kulipizia kisasi cha kuuliwa shahidi na kikatili kijana wa Kipalestina, Ammar Mefleh.
-
Palestina yaendelea kuungwa mkono katika mashindano ya Kombe la Dunia, Qatar
Dec 06, 2022 04:19Moja ya matukio yenye kuvutia katika mashindano ya Soka ya Kombe la Dunia huko Qatar ni kitendo cha watazamaji kutoka nchi mbalimbali kuiunga mkono Palestina mkabala wa utawala wa Kizayuni.
-
Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu
Dec 05, 2022 22:47Kwa akali Wapalestina 160 wameuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan tangu kuanza mwaka huu wa 2022.