-
Waziri wa Ulinzi Yemen: Uporaji wa mali ya Yemen hautapita bila jibu
Sep 15, 2022 03:35Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen ameashiria njama za muungano wa vita wa Saudi Arabia za kupora utajiri wa Yemen na kusisitiza kuwa operesheni ya uporaji wa mali ya Yemen haitapita bila jibu.
-
Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea
Sep 14, 2022 21:59Mahakama ya India imekataa ombi la Waislamu la kutupilia mbali shauuri la wanawake wa Kihindu la kutwaa msikiti wao katika mji wa Banaras.
-
Wapalestina 2 wauawa shahidi, Mzayuni aangamizwa Ukingo wa Magharibi
Sep 14, 2022 03:22Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Bahrain inaongoza kwa idadi ya wafungwa wa kisiasa Uarabuni
Sep 14, 2022 03:11Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain (BCHR) kimesema Bahrain inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wafungwa wa kisiasa miongoni mwa nchi zote za Kiarabu.
-
HAMAS yataka makubaliano ya Oslo baina ya PLO na Israel yafutwe
Sep 13, 2022 21:43Sambamba na kutimia mwaka wa 29 tangu yaliposainiwa Makubaliano ya Oslo, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaka Mamlaka ya Ndani ya Palestina itangaze kufutwa makubaliano hayo ya nakama.
-
Qatar yakataa ombi la kuanzishwa ubalozi wa Israel mjini Doha kwa ajili ya Kombe la Dunia
Sep 13, 2022 05:58Serikali ya Qatar imetangaza kukataa ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia.
-
Israel yafanya maneva ya kijeshi katika Ghuba ya Haifa kwa kuhofia maonyo ya Hizbullah
Sep 13, 2022 03:22Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa unafanya maneva ya kijeshi kuanzia Ghuba ya Haifa hadi katika mpaka wa baina ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Lebanon kwa kuhofia indahri za karibuni za harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Kuendelea juhudi za Iran za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Yemen
Sep 12, 2022 21:50Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake na mkuu wa timu ya mazungumzo ya serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen kwamba, Jamhuri ya Kiislamu daima itaendeleza himaya na uungaji mkono wake kwa irada na matakwa ya wananchi wa Yemen.
-
Hamas: Mapambano dhidi ya maghasibu yataendelea hadi Palestina itakapokombolewa
Sep 12, 2022 10:44Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa kwa nasaba wa kutimia mwaka wa 17 wa kutimuliwa Wazayuni kutoka Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuendelezwa mapambano ya Wapalestina hadi malengo yao ya mwisho yatakapofikiwa.
-
Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu
Sep 12, 2022 03:02Baadhi ya duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, licha ya jeshi la Israel kuvamia kila siku na mara kwa mara maeneo ya Wapalestina na licha ya kufanya ukatili mkubwa dhidi ya Wapalestina lakini limeshindwa kuzuia operesheni za wanamuqawama na wanamapambano wa Kiislamu.